CCM imewafanya watanzania mateja!!

Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,593
2,000
Tangu zama za "Rama Mla watu" DK.Shika" na viongozi wa CHADEMA wanaotoka donodono na kujiunga CCM, utagundua CCM imewafanya watanzania kama mateja.

Kila dozi inapopungua na watanzania wakikaribia kuzinduka wanadungwa dozi nyingine, Leo mambo ya Kishika Uchumba, Korosho, 1.5 Trilioni, na mengineyo yamesahaulika watu wako Bize na Lowassa kurudi CCM.

Kila dozi ikipungua hupigwa nyingine stimu za watanzania zisikate. Ni "Sober House" gani itatusaidia na je "Methadone" yetu kama taifa itatoka wapi?
 
Herr muller

JF-Expert Member
May 28, 2018
1,018

Mimi sio nabii wala mtoto wa nabii, na sitaki kujifanya nabii wa uongo, lakini hiki ndicho ningependa watz wenzangu wanaojari wengine, wanaoumia kwa hali iliyopo sasa, wanaolala njaa na pia wanakosa mlo wa kuwapa watoto wao, wanaushuhudia familia zao, jamaa na watu wengine wakifa hospitali kwa ukosefu wa madawa, wanaoshuhudia wakulima wa korosho wakiyayaswa na kufanywa masikini zaidi na hii serikali,wanaona hela zao zikipotea, zikinunua wapizani na zikifanya mirando ovyo kaa ndege kununuliwa, kujenga steglers ila hali tuna upepo na jua la kutosha kuzalisa umeme, na meninge mengi ambao nafasi na muda haitaruhusu nitaje au niandike,siku yaja na haiko mbali ambapo kaa vile mungu alisikia kilio cha mwana wa israeli na kutuma musa, na kufanya pharaoh na jeshi lake kuangamia kweye bahari ya red sea, musa wetu ako karibu kwamaana kilio chetu kimemufikia mungu,
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,593
2,000
Leo tena tumedungwa dozi asubuhi asubuhi. Sijui ni Cocainea au ni Heroin? Hii kweli ni "opioid Epidemic" ? Sijui hali hii ya kutuweka uteja itaisha lini!!
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,998
2,000
Methadone ni kuufuta mwenge wanaouita mwenge wa Uhuru ,huo ndio balaa na ndio mungu wa ccm ,kiasili unaitwa nyamrunda ambao Nyerere aliuleta kutoka huko gamboshi ambao kazi zake ni mbili ya kwanza ni kuwafanya watanzania mazuzu kila wanachofanyiwa wanakubali ,pili ndio unaofanya amani iendelee kuwepo Tanzania ,unapopita unawapumbaza watanzania wote wana kuwa hawajielewi .Ndio maana Jiwe alipoukurupukia kuufuta ili abane matumizi akapigwa stop .
 
Duuh. Haya ya Mwenge tena yananikumbusha ile dozi nyingine ya Deo Kisandu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom