CCM imetuongezea mzigo huu

CCM imetuongezea mzigo huu

boyayoparuparu

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
343
Reaction score
82
Kila mtu anaenunua umeme, amelazimishwa kuchangia asilimia tatu kuigharamia EWURA na asilimia moja kuigharamia REA, inakuwaje mteja bila ridhaa yake achangie kuendesha makampuni yanayoanzishwa na serikali??!! Tunaendelea kufanywa wajinga huku wengine wakiendelea kuunga mkono bila kutafakari mzigo ambao CCM inawatwisha wananchi, bila tafakari na pengine kwa uwezo mdogo wa kutafakari mambo au kwa kujali maslahi binafsi wasanii wanaiunga mkono CCM, pesa hizi pengine ndizo wanazopewa CCM ili kufanikisha kampeni yao inayotumia pesa nyingi sana, tunanyonywa sana, hata mteja akiomba kuunganishiwa umeme anaambiwa anunue nguzo na vifaa vingine,ambavyo baadae tanesco wanavitumia hivyo hivyo kuongezea wateja na mapato bila aibu, namuomba MUNGU aifute kabisa CCM, angalia toka kampeni imeanza tumepandishiwa gharama za simu, hata chocolate ya Bakhresa imepanda, anaeunga mkono CCM atafakari kwanza.
 
Mtaji wetu wanaccm ni kundi kubwa la wajinga,wewe unawafumbua macho ili iweje sasa?



Kwahisani ya wanaccm
 
Hujaelewa nini,sasa hivi nenda kanunue umeme(luku ),kisha soma risiti unayopewa,utagundua nasema nini,unakatwa pesa za kuiendeshea ewura na wanalipwa mishahara mizuri hao kuliko watumishi wa serikali,na pesa nyingine unakatwa ili iende rea wanaosambaza umeme vijijini, iweje mteja abebe mzigo huu,tena kwa lazima!!!ukumbuke kuwa rea wanapata pesa za mcc toka america,tukiiacha ccm nikwa hasara yetu,nafikiri ndio maana kwenye mabango ya magufuli mgombea wa ccm kuna alama ya moto,chagua moto uungue
 
Mbona tunakumbuka vizuri ilivyokuwa pale bungeni, na wabunge waliokuwa wanashabikia sana bajeti ile baadhi wameshaadhibiwa na wanaccm wenyewe kama veridian mg'ong'o, Saidi nkumba, n.k.
 
Kuna kodi tunakatwa kitu ambacho sio sawa.
Sijawahi kuona umuhimu wa service charge.
CCM ni majambazi.
 
Back
Top Bottom