Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Kwa hali inavyoendelea ndani ya chama cha mapinduzi CCM ni kama vile wanaccm halisi hawathaminiwi tena bali wanachama wanaohamia kutoka chadema ndiyo wanapewa umuhimu.
Kitendo cha CCM kuwakata wanachama wake walioshinda kura za maoni kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata moja huko Iringa na kata mbili huko Arusha ni kuwadhalilisha wanachama wa CCM waliokipigania chama kwa nguvu zao zote.Pia inaonyesha CCM haiandai wanachama wake kugombea nafasi mbalimbali bali inategemea wagombea kutoka chadema.Ni wakati sasa kwa wanaccm kujitathmini kubaki kwenye chama hicho au kuamua kuondoka na kutafuta demokrasia ya kweli chadema kama alivyofanya Nyalandu.