CCM imeshindwa katika hoja,kisera na ushawishi kwa wananchi kilchobaki mabavu!

Jan 16, 2007
721
176
Kwa Hali ilivyo hivi sasa inaonekana CCM umeshindwa katika kila sehemu na CHADEMA na kasi ya CHADEMA kukubarika kwa wananchi matokeo Yake inatumia nguvu za dola na Majungu kwa kuzuia mikutano. na maandamano bila sababu. Matokeo yake vurugu na kusababisha vifo na majeruhi MUNNGU IBARIKI TANZANIA .
 
CCM na hao mbwa wao wanaowasakizia kuwashambulia Chadema lazima 2016 wakaozee jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…