CCM imeshindwa katika hoja,kisera na ushawishi kwa wananchi kilchobaki mabavu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imeshindwa katika hoja,kisera na ushawishi kwa wananchi kilchobaki mabavu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Aug 29, 2012.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa Hali ilivyo hivi sasa inaonekana CCM umeshindwa katika kila sehemu na CHADEMA na kasi ya CHADEMA kukubarika kwa wananchi matokeo Yake inatumia nguvu za dola na Majungu kwa kuzuia mikutano. na maandamano bila sababu. Matokeo yake vurugu na kusababisha vifo na majeruhi MUNNGU IBARIKI TANZANIA .
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  CCM na hao mbwa wao wanaowasakizia kuwashambulia Chadema lazima 2016 wakaozee jela.
   
Loading...