technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Broo Chadema sio Wabunge. Nakwataarifa yako, CHADEMA bila wabunge itawapelekesha hata kuliko hii yenye Wabunge wanafiki.Ninachofurahi Baada ya October Chadema itakuwa haina mbunge hata mmoja
Mbowe Akili zitamkaa sawa
Wanaweweseka. Wawachukue tu sisi tumekinai. Si wengine wanawanunua kwa pesa nyingi? Tumewaongeza na wa Bure.🤣🤣Eti wangepewa muda wajitetee! Majibu ya kujitetea kwa Membe yako wapi? Lissu alijitetea wapi? Nasari alijitetea? Meya wa Jiji mpaka anafungiwa ofisi!, Meya wa Iringa Je? Meya wa Ubungo je? Ccm mmepoteza dira ni chama ambacho hakina hoja mbele ya umma. Naunga Mkono Mbowe Safisha Chama bado kuna wengine fukuza takataka zote.
CCM wamekuwa utopolo kabisa ,Cecil kafukuzwa chadema ubunge wake umekoma halafu spika anamleta bungeni kama gunia la mkaa
Broo Chadema sio Wabunge. Nakwataarifa yako, CHADEMA bila wabunge itawapelekesha hata kuliko hii yenye Wabunge wanafiki.
Endeleeni kumdanganya Mbatia kuwa mnampa wabunge 20 wakati kwenye jimbo lake mwenyewe wakirua hawataki hata kumuona. Mark my words.
Kama utakuwa mbunge wewe badala yao furahi Mara kumi zaidiNinachofurahi Baada ya October Chadema itakuwa haina mbunge hata mmoja
Mbowe Akili zitamkaa sawa
Membe alipewa nafasi ya kujitetea mkuu acha kupaniki
Ninachofurahi Baada ya October Chadema itakuwa haina mbunge hata mmoja
Mbowe Akili zitamkaa sawa
Chadema hii inayokimbiwa na watu wanaoijielewa impelekeshe nani ?
Watapelekeshwa na mahakama kwa kuvunjwa sheria Nadhani mtaendelea kuwachangia
Kwa sasa adui wa kwanza wa tz ni cdm inashangazaaaaa mnooooo tunaacha kushughulikia mambo ya msingi eti tunasigina katiba kisa chadema? Nawaza sipati majibu kila siku, nyerere aliainisha maadui watatu Leo hiii adui ni cdm? Really? NO THERE MUST BE SOMETHING WRONG SOMEWHERE, kinachotengenezwa si kizur kwa ustawi wa taifaEti wangepewa muda wajitetee! Majibu ya kujitetea kwa Membe yako wapi? Lissu alijitetea wapi? Nasari alijitetea? Meya wa Jiji mpaka anafungiwa ofisi!, Meya wa Iringa Je? Meya wa Ubungo je? Ccm mmepoteza dira ni chama ambacho hakina hoja mbele ya umma. Naunga Mkono Mbowe Safisha Chama bado kuna wengine fukuza takataka zote.
Nimependa sana ushujaa wa CHADEMA. Hiki chama Nyerere alikitabiria makubwa na yanakuja. CHADEMA inafuata katiba na kanuni zake mtu akileta ujinga anapigwa chini hata akiwa nani hakuna kumwangalia mtu usoni. Yaani CHADEMA ikishika uskani nchi hii itanyooka kama rula.Chadema hii inayokimbiwa na watu wanaoijielewa impelekeshe nani ?
Watapelekeshwa na mahakama kwa kuvunjwa sheria Nadhani mtaendelea kuwachangia