CCM imekuwa mali ya mtu?


Kwa taarifa yako ccm inaharibiwa na watu wema kukaa kimya. Matokeo yake watu wabaya wabaishia kupata nguvu, mkija kuhamaki wema mmejaa woga. Mlishindwa kujifunza kwa kuachia chama kushikwa na mafisadi na leo mnarudia kosa lile lile la kuacha chama kuongozwa na makatili. Mtajikuta mnapangiwa mpaka watu wakusakimiana nao na kula nao. Kama sio ufala mtu mmoja au kikundi chake kinawapangia mtu wa kumtembelea hiyo ni tabia ya watanzania? Jifanyeni mmekitoa chama kwenye mafisadi mukihamishie kwa wauaji.
 
Fukuto ninaloliona kubwa ni huu uchaguzi wa Kata ulioisha umeacha makundi makubwa Mfano huku kwetu mwenyekiti wa Kata aliyepatikana ameshaanza kutengeneza timu yake kwa ajili ya kuutaka Udiwani na Diwani aliyopo ni wetu sio wa upinzani. Bado ujaja ktk wabunge ambao wako tofauti na yanayifanyika chamani mwisho nao ndo utaleta mpasuko mkubwa zaidi ambao hautakiacha chama salama
 

Kuna ka mchezo kanachezwa hapa mkuu....kanaitwa divide and rule. Anayeonekana kuwa kundi lake ama yeye mwenyewe ana madhara baadaye anapewa cheo

mfano Abdallah Bulembo, Mama Salma, Nchimbi kupewa Ubalozi, nk.
 
Kuna ka mchezo kanachezwa hapa mkuu....kanaitwa divide and rule. Anayeonekana kuwa kundi lake ama yeye mwenyewe ana madhara baadaye anapewa cheo

mfano Abdallah Bulembo, Mama Salma, Nchimbi kupewa Ubalozi, nk.
Kwa ujumla Mwenyekiti inatakiwa ajirudi mapema la sivyo tunarudi kule kule kwa anachokifanya ni yale maendeleo ya kuonekana macho mwisho watu wabachukulia kawaida mara miaka mitano imekatika
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hadi nyie mnaisoma namba
 
Ww ukitaka baki chamani, hutaki sepa.

Hili ni jambo la maana sana. Ninyi ndiyo mliokuwa mnakihujumu chama chetu. Sasa mumebanwa mbavu, mnaanza kulalama. Wewe ukitaka baki chamani, hutaki sepa! Chama hakiteteleki kwa porojo zako!
 
Wajumbe wengi walikuwa wanaongelea chini chini juu ya uongozi wa juu namna unavyopeleka mambo ya chama. Namna unavyotoa hongo ya vyeo kwa wapinzani . Mwenye macho na asikie, kuna fukuto kubwa sana ndani ya ccm

Unashangaza sana! Eti hongo, ahongwe nani? Huo upande mwingine hakuna mpya, zote ni nyeusi, kwanini mtu ang'ang'anie kuti kavu? Karibuni nyumbani kwenu...
 
Kweli wewe ni kigodoro
 
Juhudi gani alizozifanya magufuli kwene uchaguz 2015, yaan magufuli ni dodo tu lilimdondokea ukitegemea hakuwa na nguvu kisiasa na ushawishi ndani ya chama hata utundu wa kisias hana inshort is not a good politician n he was powerless,. Waliofanya juhudi wapo kama kina mzee kinana,nape,kikwete,wazee wa baraza la chama,. Yaani magufuli alikuepo tu lkn michezo walicheza wataalam
 
Kauli kama hizi ndizo zinampa kiburi mwenyekiti anafika mahala anatuona wengine ni maboya tu. Hivi mtu unaanzaje kusema Magufuli alifanya juhudi kubwa za kukibeba chama? Watu wanaosema hivi mkuu ndiyo wananiumiza sana kichwa
 
kabla ya 2015; Chagua CCM chagua kikwete

2015; Chagua Magufuli neno CCM mkaliondoa!

Mlibinafsisha chama wenyewe msimulaum anachojua yeye ndio alikiokoa chama na si chama kilimuwezesha kuwa hapo alipo.
 
Kwani bado kuna ccm? Chama kilichomadarakani ni chama cha manunuzi we waajabu ccm ilishaondoka kitambo
 
CCM members and all Tanzanians, SPEAK OUT YOUR MIND....!!!
Ni wakati wa kumwambia Mwenyekiti na Rais wenu kwamba enough is enough...!! Ni wakti wa kukomesha hizi kauli na za kihuni kama:
  1. CCM ya Magufuli...!
  2. Serikali ya Magufuli...!
  3. Serikali yangu......!!!
  4. Tanzania ya Magufuli....!
Je, Baba wa Taifa angelifufuka leo angekubaliana kweli na kauli hizi za kifedhuli na majigambo toka kwa Mwenyekiti mpya na Rais wa CCM kwa sasa?This country belongs to all Tanzanians and not to somebody else....in the name of Magufuli......!!!
 

CCM wanaogopa nini? CCM wanangoja nini kukinukisha??Magufuli ni nani hasa nchi hii kiasi cha kuwatia watu hofu? Hivi Wananchama wakisema hawamtaki atakimbilia wapi???Hivi huyu Msukuma amesahau kwamba Wana-CCM ndiyo waliompa mtaji wa kuingia Ikulu...???
Wekeni mikakati ya kumbana ili aelewe kwamba anakiendesha chama ndivyo sivyo.....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…