Hapa ilipo CCM inapumulia mashine yaani iko ICU lakini 25.Oktoba.2015 itakufa.Dalili za kifo ziko nyingi lkn Mimi nitataja mambo yaliyosababisha CCM kufa.
1. Rushwa na ufisadi uliokithiri .
2. Maisha kuwa magumu kwa watanzania kila kukicha.
3. Kukata baadhi ya majina wanaopendwa na watanzania kugombea nafasi ya urais mfano Edward Lowassa na Prof Mwandosya.
4. Baadhi ya vigogo na wanachama mchana kuwa CCM usiku kuwa chama kingine.
5. Kushindwa kufanya na kupata mabadiliko ndani ya CCM.