Oneya
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 235
- 244
Neno CCM masikioni Sasa Ni Kama kinyaa kwangu. Miaka 61 ukiongezea na ya TANU watanzania bado Wana nyimbo zile zile. Ufisadi.....ukupe, elimu duni......walimu wachache....uhaba wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia......upungufu wa madarasa na nyumba za walimu, upungufu wa vifaa tiba na madaktari sekta ya afya, upungufu wa pembejeo na wataalamu sekta ya kilimo na mifugo, Hali duni ya maisha.....mitaji, Umeme wa uhakika na maji.
Siasa chafu .......Rongo Rongo nyingiii yaani kusifiana too much. Hakuna uwazi kukopa kwingi. Uzalishaji Kama taifa limepungua na zaidi nchi imeangukia kutegemea misaada toka kwa wahisani. Sitaji mengi Ila CCM Ni dead horse