CCM imekia kuwa chama cha KURITHIWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imekia kuwa chama cha KURITHIWA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwitaz, Apr 29, 2012.

 1. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wana Jf,
  Waama kila mwamba ngozi huvutia kwake na hili linathibitika katika chama cha CCM kwani kila kiongozi kutoka mashinani hadi juu yupo katika heka heka ya kumrithisha mwanae, mkewe, nduguze ama rafiki zake!
  Jamani, huwenda nikawa sijakugusa mshipa wa hisia moja kwa moja na hivyo basi kuonekana sijagonga palipo;

  Ngoja nigonge msumari kwenye kidonda angalau kwa huruma kwa kuwataja hawa wachache:-
  1. Moses Nauye...Nape Nauye
  2. J.K.Nyerere...Makongoro
  Nyerere
  3. Kikwete... Mama Salma Kikwete, Ridhiwani na Khalfan Kikwete...
  4. Omari Mapuri...Aziz Mapuri...
  5. Rashidi Kawawa...Vita
  Kawawa na Zainab
  Kawawa
  6. Alli Mwinyi... Husein Mwinyi na mdogo wake
  7. Yusuph Makamba..January
  Makamba...
  *+*+hebu ongeza
  8.
  9.
  10.

  Kwingineko;Mama Salma Kikwete
  Kugombea Ujumbe Wa NEC
  wilaya ya Lindi 'Mjumbe Wa Mkutano Mkuu
  CCM
  kutoka Wilaya ya Lindi' ilhali yeye ni (First Lady)

  Alitangaza
  Kugombea nafasi ya UNEC
  katika
  wilaya ya LINDI Wiki ya kwanza ya mwezi
  huu
  mnamo tarehe 2 Mpaka 5
  alipokwenda huko
  kukutana na wajumbe Wa
  Mkutano Mkuu Wa wilaya Lindi
  ambao pia
  watagombea nafasi za
  ukatibu; watakuja
  kumchagua Katika kikao
  walichokutana nae.
  alisema atagombea hiyo
  nafasi, wakati huo huo
  mwanae
  alitangaza Kugombea
  UNEC katika wilaya ya Bagamoyo.

  Kilichosikitisha ni hiki hapa;baada ya
  kikao
  hicho, alikabidhi kiasi cha
  million 30
  kusaidia ofisi ya CCM wilaya
  ya Lindi;sijui ni usaidizi wa dhati au ilikuwa njia ya kuweka mambo sawa!

  Ujumbe Wa NEC CCM unashangaza sana!
  Baba mwenyekiti,mtoto
  mjumbe Wa
  NEC mama Mjumbe Wa NEC na ndugu wengine wamejificha madarakani kama nyoka wa kijani ajifichapo kwenye nyasi za kijani ifananayo na rangi ya CCM; Nyoka huyu, huonekana pale tu amung'atapo binadamu

  Watanzania hawatataki vyeo vya
  kurithishana CCM kwani huu si utawala wa kifalme!!

  Wasiokuwa ndugu wa vigogo wamehamia chadema na kuunda kundi hili maarufu kwa jina BIDII YETU ITAINGIZA CHADEMA MADARAKANI.
  ...kama una nia njema ya kutetea haki za wanyonge jiunge na kundi hili kwa kubofya HAPA

  Source: mwitaz
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  gharib bilal...mwanae(eac MP)
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mnaweza kuwa na point ila aliechafua cdm ni mzee ndesamburo
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hoja siyo kurithishana hoja ni uwezo wao. Urahisi unatoka na wao kuwa favaured lakini kama wanaweza kuongoza ruksa.

  Au wao hawapitii mchujo unataka kusema?
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,617
  Likes Received: 8,409
  Trophy Points: 280
  Hilo yai utataga lini? manake nakuonea huruma unavyohangaika!!!!
   
Loading...