Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
.
Rostam aliongea maneno mazito ya siasa uchwara za Nape na Chillingati wanavyofanya kinyume cha makubaliano ya mikutano ya CCM.
Kwa jicho la upembuzi lile kundi la CCJ lililoasisiwa na Samweli Sitta, Nape na Mpendazone sasa linaanza kujitokeza zaidi na kufuatana pamoja kwenye mikutano kama ilivyotokea Mbeya. .
CCM ikivua gamba inapatikana CCJ; sasa unalaum nini au wewe ni gamba
kumbe gamba rostam alikuwa sahihi sasa ameongoka jamaa wameamia kwa maalimu SEIF,
Hivi NAPE haoni tumbo lake hiyo kama mimba baada ya kuukwaa ukatibu itikadi anaongelea mng'alo wa huyo mzee wa watu.
anyway CUF wacha nao wakome uwezi kufanya ushirika na mwizi na hapo ndipo wanawawinda chadema huko ARUSHA
CCM la nni liache lifie mbali halina faida yeyote ndugu why bother ?