The Worshiper
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 302
- 89
Wewe kweli kichwa maji! Kwani nchi inaongozwa na Serikali ya Chama gani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Halafu yenyewe ndo ikawa mkoloni mweusi.....to bad! nothMtu yeyote anayeikashifu CCM lazima kichwani hayuko sawa.
CCM imemkomboa mtanzania kutoka makuchani mwa mkoloni, leo hii ukiitukana unajitakia laana!
Vila ccm usingeweza hats kupost thread yako
Mtu yeyote anayeikashifu CCM lazima kichwani hayuko sawa.
CCM imemkomboa mtanzania kutoka makuchani mwa mkoloni, leo hii ukiitukana unajitakia laana!
CCM ipi ilomkomboa Mtanzania? Masikini ASP yangu hata hutambuliki tena na kizazi hiki cha Nape..
CCM inauwawa na maneno ya wakosaji kama haya,ila kiuhalisia sijaona chama cha kuiondoa madarakani, labda miaka ishirini ijayosafi sana , umeandika ukweli wa mambo ! Hiki chama hivi sasa kimebaki kushabikiwa na watoto wa viongozi tu , na hawa sababu zao zinafahamika .
Jibu unalo..."Magamba"Wewe kweli kichwa maji! Kwani nchi inaongozwa na Serikali ya Chama gani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe kweli kichwa maji! Kwani nchi inaongozwa na Serikali ya Chama gani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
CDM kushney
mkuu hakuna CHADEMA tena, kuna UKAWA.CDM kushney