CCM imeanguka wakurugenzi watemwa kazi, nchi imeliwa mafisadi wakumbatiwa

Binafsi nashukuru sana suala la Escrow. Hili limewafanya wananchi wengi waamke na kukumbuka zaidi kuwa hawa watu ni wezi sana wa fedha zetu. Hatuna namna ya kuendelea kuishi bila kuwatoa hawa madarakani. Ili nchi ifanikiwe vyema ni lazima kuwatoa kuanzie ngazi ya mitaa ama ngazi ya chini kabisa. Ni wakati sasa wa upinzani kuwekeza zaidi vijijini kwanza kwani mijini watu wengi walishaelewa kwa ujumla wao. Viva escrow viva chaguzi ndogo....!!!!!
 
Na michango ya maabara nchi nzima limewagusa vijijini moja kwa moja.ccm still creating the seeds of its own destruction. Usemi wa Kuwa"the panking in the old home steard can never be up routed" umefeli kwa watawala wa sasa
 
Kweli Hilo la maabara limewamsha wengi vijijini ,maana wananchi walikuwa hawana fedha za kuchangia kutokana na ugumu wa maisha,walikuwa wakinyang'anywa mifugo Yao.wakati huo wanasikia kuna waziri kapewa milioni Mia moja kwaajili ya mboga.mwingine kapewa milioni Mia nne lambilambi.Mungu katuona kuleta escrow, na maabara,kutukomboa .
 
Ukombozi unaufanya mwenyewe hauletwi na escrow wala babu yake escrow kama una akili sawasawa utafanya maamuzi sahihi ya kuchagua viongozi bora.
 
Binafsi nashukuru sana suala la Escrow. Hili limewafanya wananchi wengi waamke na kukumbuka zaidi kuwa hawa watu ni wezi sana wa fedha zetu. Hatuna namna ya kuendelea kuishi bila kuwatoa hawa madarakani. Ili nchi ifanikiwe vyema ni lazima kuwatoa kuanzie ngazi ya mitaa ama ngazi ya chini kabisa. Ni wakati sasa wa upinzani kuwekeza zaidi vijijini kwanza kwani mijini watu wengi walishaelewa kwa ujumla wao. Viva escrow viva chaguzi ndogo....!!!!!

Kumbe wapinzani hata vijijini hawajawekeza bado halafu wanajiandaa kukataa matokeo? Kumbe humu tunasumbuana tu rais ni Magufuli. Ngoja nikalale
 
Back
Top Bottom