kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) bado ni imara sana,na hakuna dalili yoyote mpaka sasa kwamba chama hicho kimechokwa na watanzania kwani serikali ya chama hicho kimeendelea kusimamia ipasavyo ilani yake nzuri iliyowavutia wananchi na kuamua kuwapa tena ridhaa ya kuongoza nchi... serikali ya CCM imeendelea kufanikiwa sana katika kupunguza umaskini na kuimarisha uchumi,ujenzi wa miundombinu,huduma za afya vijijini,elimu nk...kwa wale wanaotamani kuipokonya CCM dola itabidi wasubiri sana...MUNGU IBARIKI TANZANIA

Kwa sababu ya obama kuja bongo.au nini??
Nahisi unaota...ukiamka ndo utajua huo ujinga ulioandika ni ujinga...
Kiko imara kupandikiza ushahidi fake, uzushi, kurusha mabomu, kupiga na hata kuuwa Watanzania katika sehemu mbali mbali nchini.