Kuna kila dalili zimejionesha dhahiri kuwa CCM inakwenda kuanguka 25/Oktoba/2015.Kila unakopita katika watu kumi ni watatu tu wanaipenda CCM lkn watu Saba wanailalamikia CCM na wameapa kutoichagu.Je CCM isipochaguliwa nani alaumiwe?
aisee, umeunenea mtima wangu, ulakhoze chane !
labda wewe hujapita kule ambako mimi nimepita. Huku kwangu wote kumi wanasema wanawafariji tu ukawa maana hamtaki kusikia mnasemwa vibaya hivyo wanawaogopa. Ili kuepusha shari wanawambia maneno ya faraja tu ili kuvuta siku zifike wawapige chini kistaarabu
Code:aisee, umeunenea mtima wangu, ulakhoze chane !
Labda wewe hujapita kule ambako mimi nimepita. Huku kwangu wote kumi wanasema wanawafariji tu UKAWA maana hamtaki kusikia mnasemwa vibaya hivyo wanawaogopa. Ili kuepusha shari wanawambia maneno ya Faraja tu ili kuvuta siku zifike wawapige chini kistaarabu
Jifariji, okt 25 utakufa kwa presha, ccm ishakufa.
Ulionao wapi nyoka anakufa baada ya kujivua gamba? Kifupi huwa anarudi ujana