Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Pamoja na mafanikio ya serikali ya awamu ya tano. Kuna wimbi kubwa la wanasiasa wanaohamia chama cha CCM. Mtu ama watu kuhamia chama cha CCM siyo vibaya. Ila ninatahadharisha uongozi wa CCM kuwa makini na hawa wanasiasa vigeugeu na wengine Materialistic wanaohamia CCM sio kwa mapenzi ya kupenda chama ila kwa maslahi yao binafsi. Ni vyema CCM ikafanya vetting kabla ya kumkubali huyo mwanachama ama wanachama wapya wanaohamahama vyama.