CCM ijiandae kuvuna ilichopanda

CCM ijiandae kuvuna ilichopanda

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,944
Reaction score
3,090
Maelezo machache sana bila kuathiri mikakati ya msingi .

Siku moja nyuma kabla ya jana nilikuwa na uadui wa wazi kabisa na kila aliyekuwa mwanaccm ,niliamini kila mwanaccm ni mnufaika wa huu upuuzi ,hali nitofauti sana wazee.

Sikuwaza kabisa kusikia na hata kuona kwa ushahidi wa wazi kuwa kumbe hata wao wapo upande wetu ,Mungu aendelee kuwatetea kwa ujasiri wenu ,wanakiki kuwa hisia sana ,mtu anasema japo kwa majonzi mazito lakini sina namna ,maslahi ya Tanganyika yangu kwanza.

Kwa uchache sana labda niseme changamoto ya uonevu kwa watanganyika inaendelea kupata support kubwa kwa wadau mbalimbali tena kwenye nyanja zote muhimu kuanzia mapambano ya kiuchumi kwa maana ya kuhakikisha uchumi wa Tanzania unakwenda kuwa sufuri ,kwa wenye hela wenginwanashauriwa kufanya mambo mawili aidha kuibadili pesa kuwa mali au kufungua account za fedha zakigeni (foreign account) upepo wetu kiuchumi unakwenda kubadilika sana , usalama wa viongozi waliyojiteua unakwenda kufutwa kwa mtindo ule ule wa do me do you na support kwa waandamanaji inakuwa active to the maximum lakini mengi mazito yanakwenda kuwekwa wazi kiasi cha kuifanya serikali inuke kama kinyesi.

Nadhani nimejitahidi sana kuongea bila kuathiri mpango na mikakati muhimu yakiukombozi .

Kila muhanga wa haya tunayoyapitia aendelee kutimiza wajibu wake kwa umakini mkubwa hasa kwa kuzingatia changamoto ya usalama tuliyonayo .

Wakuu tupo pazuri zaidi ya jana , tujitajidi kutokuwa wawazi sana wa kuzisambaza taarifa za kimkakati ,usiri uwe ndiyo siraha yetu ya kwanza na ikiwa kama tunashare na wenzetu tuhakikishe tunatembea kwenye code sana.

Neno moja tu la nyongeza , kwa uzito wa mikakati ilivyo siioni hii serikali ikiwa salama ndani ya miezi sita ijayo ,siioni hiyo dalili maana waliyo ndani yao (wetu ni wengi kuliko wao).

Jitahidi kunielewa harakaharaka..

Ukishaisoma futa.
 
Ngoma ndiyo imewaka sasa na mbaya zaidi waliyondani yao ndiyo dah! Hao mabaka ndiyo dah! kibaya zaidi hadi wateule wake wanakwambia Bro No mioyoninavuja damu , siwezi kuisaliti Tanganyika yangu na unaweza kudhani anatania ,anathibitisha hadi kwa ushahidi .

Tupo pazuri wazee ,Mungu tu aendelee kulipigania Taifa lake
 
Hapa mwendo unapaswa uwe wakuchapana vyuma tu ndiyo tutaheshimiana ,huu upuuzi wa kuombana ombana tutachelewa sana👺
 
Ngoma ndiyo imewaka sasa na mbaya zaidi waliyondani yao ndiyo dah! Hao mabaka ndiyo dah! kibaya zaidi hadi wateule wake wanakwambia Bro No mioyoninavuja damu , siwezi kuisaliti Tanganyika yangu na unaweza kudhani anatania ,anathibitisha hadi kwa ushahidi .

Tupo pazuri wazee ,Mungu tu aendelee kulipigania Taifa lake
Mkuu usijaribu kucheza na hisia za watanganyika waliojeruhiwa! Nchi hii imejaa wabinafsi tupu wasiojali maslahi ya taifa hata kdg, hii ni Kwa wenye nyadhifa mbalimbali na walio ndani ya hilo li chama chakavu
 
Amina
 
Nikwambie tu mkuu Mahali Taifa limefikia sikuwahi kuhisi kama tungefikia hapa .

Ile roho ya ubinafsi imepungua sana tena mnoo.

Watu wengi sana wamefanikiwa kuivuka level ya uvyama na kujitumbukisa kwenye kapu moja la utaifa kwanza .

Mahali tulipofikia kama Taifa wengi wameshapakinai.

Wengi wamepoteza ile radha ya mamlaka yao ,mtu anakwambia nanufaiakeje sasa kuwapo nilipo wakati usalama wa ndugu zangu siyo wa uhakika?

Nanufaikaje na madaraka nikiyonayo wakati hatima yangu ipo mikononi mwa watu wengine ?

Muda wowote Mafwele anaweza kupokea oda ya kuondoa uhai wangu na ikawa imeisha hiyo , muda wowote naweza kuitwa na kufanywa lolote na hakuna atakaekua na uwezo wa kuhoji chochote ?

Nikweli nipo huku ila nipo tayari kuhakikisha nafanya machache kwa maslahi ya Tanzania yenye matumaini chanya kwangu na kwa wengine .
 
Back
Top Bottom