Tatizo ni huyu mtu tuanaetaka kumkabidhi mabadiliko, anaacha maswali mengi kuliko majibu.!Hili limejidhihirisha leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar! Sikuamini kama watanzania leo wameamua kwa yakini kabisa kwamba hawaitaki CCM!Sio kuhudhuria kwenye mkutano tu bali ni pamoja na mwotikio wao wa salamu kwa viongozi waliokuwepo jukwaani.
Nduguzanguni hata wale mlioko CCM mkubali tu kwamba haya ni mabadiliko ya wazi na hayana mpinzani, mkubali kubadili fikra zenu maana ukweli ndio huo na kuendelea kuing'ang'ania ccm ni kupoteza muda
Nchi haichukuliwi kwa hotuba ya dakika kumi mwambie akagombee ujumbe wa shina

Hili limejidhihirisha leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar! Sikuamini kama watanzania leo wameamua kwa yakini kabisa kwamba hawaitaki CCM!Sio kuhudhuria kwenye mkutano tu bali ni pamoja na mwotikio wao wa salamu kwa viongozi waliokuwepo jukwaani.
Nduguzanguni hata wale mlioko CCM mkubali tu kwamba haya ni mabadiliko ya wazi na hayana mpinzani, mkubali kubadili fikra zenu maana ukweli ndio huo na kuendelea kuing'ang'ania ccm ni kupoteza muda
Nchi haichukuliwi kwa hotuba ya dakika kumi mwambie akagombee ujumbe wa shina
Tatizo ni huyu mtu tuanaetaka kumkabidhi mabadiliko, anaacha maswali mengi kuliko majibu.!