CCM igeni wenzenu wa Kenya na Uganda uchaguzi wa Meya DSM.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Jiji la Nairobi linaongizwa na Meya George Olandwa wa ODM, jiji la Kampala lilikua chini ya Meya Erias Lukwago wa Democratic Part aliyemaliza muda wake juzi! Haya majiji yote yyako chini ya uongozi wa mameya wa vyama vya upinzani tena majiji yote haya yote ni makubwa East Africa kuliko jiji la DSM. CCM kwanini msiige mfano wa majiji haya? Inamaana ninyi ndio mnajua sana kuliko wale wa vyama tawala vya nchi hizi?

Namba hazidaganganyagi ndugu zanguni, Kama wajumbe wa upande flani ni wengi basi hao ndio wenye nafasi ya Kutoa Meya na si vinginevyo.

Binafsi sasa naamini sasa CCM ndio wachawi wakubwa maendeleo ya nchi hii! Hivi nini kiini cha tatizo linalofanya uchaguzi wa Meya jiji la DSM ucheleweshwe? Nani mchawi hawa kama sio CCM? Hapa UKAWA wana tatizo gani? CCM wanataka uchawi gani ufanyike ili wao watoe Meya ilihali wanajua kua wao ni wachache kuliko UKAWA?

Ofisi ya mstahiki Meya wa jiji la DSM kiti chake bado kiko wazi bila sababu, Figisu figisu za ajabu ajabu, maendeleo yamesimama, Mkurugenzi wa jiji anashindwa kufanya maamuzi kwa sababu ya kasoro hii ambayo iko wazi.Hiki kiti kina umuhimu mkubwa sana katika ustawi wa jiji tusifanye makusudi kwa sababu za kijinga.

Tutakaa kuwasifia wenzetu kila kukicha kwa sababu ya ujinga wetu, kwa sababu ya ubinafsi na uchu wa madaraka usiokua wa maana.
 
Wana sehemu nyingi tu za kujifunza, hata jiji la Arusha lipo chini ya CHADEMA, kwani wameishiwa nini?

MaCCM yana washauri wa ajabu na zaidi wanazidisha hasira na chuki kwa wananchi
 
Ulaji wa akina Makonda na Nape huo.UDA na Mabango.Wakurugenzi watakosa ulaji.
 
Jiji la Nairobi linaongizwa na Meya George Olandwa wa ODM, jiji la Kampala lilikua chini ya Meya Erias Lukwago wa Democratic Part aliyemaliza muda wake juzi! Haya majiji yote yyako chini ya uongozi wa mameya wa vyama vya upinzani tena majiji yote haya yote ni makubwa East Africa kuliko jiji la DSM. CCM kwanini msiige mfano wa majiji haya? Inamaana ninyi ndio mnajua sana kuliko wale wa vyama tawala vya nchi hizi?

Namba hazidaganganyagi ndugu zanguni, Kama wajumbe wa upande flani ni wengi basi hao ndio wenye nafasi ya Kutoa Meya na si vinginevyo.

Binafsi sasa naamini sasa CCM ndio wachawi wakubwa maendeleo ya nchi hii! Hivi nini kiini cha tatizo linalofanya uchaguzi wa Meya jiji la DSM ucheleweshwe? Nani mchawi hawa kama sio CCM? Hapa UKAWA wana tatizo gani? CCM wanataka uchawi gani ufanyike ili wao watoe Meya ilihali wanajua kua wao ni wachache kuliko UKAWA?

Ofisi ya mstahiki Meya wa jiji la DSM kiti chake bado kiko wazi bila sababu, Figisu figisu za ajabu ajabu, maendeleo yamesimama, Mkurugenzi wa jiji anashindwa kufanya maamuzi kwa sababu ya kasoro hii ambayo iko wazi.Hiki kiti kina umuhimu mkubwa sana katika ustawi wa jiji tusifanye makusudi kwa sababu za kijinga.

Tutakaa kuwasifia wenzetu kila kukicha kwa sababu ya ujinga wetu, kwa sababu ya ubinafsi na uchu wa madaraka usiokua wa maana.
Nashimdwa kuelewa ikiwa ccm wana elewa kua 1+1=2 na sio 1+1=11
 
Back
Top Bottom