johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,160
- 164,605
CCM ni chama kikubwa kinapaswa kuendelea kuwa na sura ya kitaifa. Lazima kijitofautishe na ACT chenye sura ya jimbo na CHADEMA chenye sura ya kikanda. Hivyo kuelekea miaka 40 ya kuzaliwa kwake CCM iweke mikakati ya makusudi kuhakikisha kanda ya kaskazini inarejeshwa 2020 kama kilivyorejeshwa kisiwa cha Pemba.
Nawasilisha kwa msisitizo!
Nawasilisha kwa msisitizo!