Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,941 Reaction score 51,061 Aug 18, 2026 #1 Wanakusanya Kodi halafu wanazitumia hovyo na kuzifuja kama Mali zao binafsi. Wakihojiwa wanataharuki. Serikali ya Tanzania siyo Mali ya CCM.
Wanakusanya Kodi halafu wanazitumia hovyo na kuzifuja kama Mali zao binafsi. Wakihojiwa wanataharuki. Serikali ya Tanzania siyo Mali ya CCM.
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,892 Aug 18, 2026 #2 Inakuwa kama ndio waliozaliwa na hati miliki ya Tanzania, washenzi!
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,658 Reaction score 55,915 Aug 18, 2026 #3 Allen Kilewella said: Wanakusanya Kodi halafu wanazitumia hovyo na kuzifuja kama Mali zao binafsi. Wakihojiwa wanataharuki. Serikali ya Tanzania siyo Mali ya CCM. Click to expand... Wanaiona ndio wenye hatimiliki na nchi
Allen Kilewella said: Wanakusanya Kodi halafu wanazitumia hovyo na kuzifuja kama Mali zao binafsi. Wakihojiwa wanataharuki. Serikali ya Tanzania siyo Mali ya CCM. Click to expand... Wanaiona ndio wenye hatimiliki na nchi
Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 3,312 Reaction score 6,608 Aug 18, 2026 #4 Mbuzi wa mama soon wakitoka malishoni watakushambulia tu