Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,006
- 288,266
inawezekana mkuu , maana nchi nzima imechukizwa sana na baraza la mawaziri .Kuna tetesi nimezipata kutoka handeni ni kuwa mpaka sasa Ccm wapo hoi
Na chadema wanaongoza kwa kura nyingi sana.
inawezekana mkuu , maana nchi nzima imechukizwa sana na baraza la mawaziri .
Handeni hatuwezi shinda
Kuna tetesi nimezipata kutoka handeni ni kuwa mpaka sasa Ccm wapo hoi
Na chadema wanaongoza kwa kura nyingi sana.
Kuna tetesi nimezipata kutoka handeni ni kuwa mpaka sasa Ccm wapo hoi
Na chadema wanaongoza kwa kura nyingi sana.
Handeni bado wako gizani... ni ELIMU, ELIMU, ELIMU... hawajui kwnn uchawi uko huko umekaa miaka yote.. sbb ya CCM... CCM wanawafanya watu makumazan, majinga kuwakosesha elimu ili kuwatawala kisha kuwaita MANYUMBU... 😨😠
Handeni sina uhakika kama wameona jua huko...!!
Sio Handeni
Hadeni ndiyo wapi Mkuu?Achilia mbali kushinda Chadema hata kuwa wa pili hawezi Hadeni.
ccm 13519,chadema 614,cuf 2419.,matokeo ya mwisho.mbunge mteule ni Kigoda Omar Abdalah
Hadeni ndiyo wapi Mkuu?
ccm 13519,chadema 614,cuf 2419.,matokeo ya mwisho.mbunge mteule ni Kigoda Omar Abdalah