CCM hii, Sijui Bukoba wanajisikiaje pikipiki kugawanywa Arusha?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Hii nchi sijui CCM iliumbwa na shida gani? Kwa yanayfanyika Arusha hata kwa wasio wahanga ni shida kuelewa haya mazingaombwe.

Najiuliza itakuweje kwa wahanga wa tetemeko la Bukoba wakiskia na kuona mgao wa toyo ktk jimbo la upinzani Arusha?

Hina tofauti na baba anayewaacha watoto wagonjwa nyumbani bila wapeleka hospital halafu anakwenda wabembeleza watoto wa jirani watoke out wakanunue toys.

Na km ni wafanya biashara wa kihindi ndio wametoa, ni hela za wafaya kazi wanaonynywa vibaya,wanaolipishwa vitu wasivyojua hata vilivyovunjika kazini. Wanaolipwa mishahara midogo. Hela hizo zikapelekwa kwa watu wasio na shida hivyo,ili kusaidia ccm kununua mapenzi. Hao wahindi na CCM lao moja. HAwajawahi hata kuwa wafanyakazi bora wao toyo.

Hadi siku ya kukabidhi Toyo, mkuu wa mkoa alishaunda chama kingine cha waedesha pikipiki, akadanganya kwamba ni cha jiji, ili kile cha mwanzo kionekane ni cha mkoa, ila baadae kisiwe na nafasi tena. HIcho chama mkuu wa mkoa alitoa hadi hela ya usajili na kutumia jamaa wa usalama kuhakikisha wanaweka kiongozi kwa uchaguzi wa maigizo. wanachohofia ni kwamba chama cha kwanza kina sehemu kubwa ukawa.

Arusha waifanyia ccm watakalo, wanaweza ilazimisha kuleta maendeleo kwa kuikataa na kuipa kazi kujipendekeza kwa gharama kubwa. Sasa hivi arumeru na Arusha ccm wapo busy kuhonga watu hadi leo uchaguzi ulishaisha.wapo busy kurukia miradi ili wapendwe.
 
Wawasaidie wakazi wa Kagera kwani Kagera iliwahi kuwa kwenye mipango ya serikali toka lini? Wakati mwingine huwa inauma sana siku ukiona mwanao anakwambia wewe (mama/baba) si mzazi wake ...hakuna kitu kinauma kama mzazi kuambiwa hili neno. Kagera ni mkoa uliotelekezwa na mzazi wake, Serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na chochote kuhusu mkoa huu na hata wakazi wanaelewa hawana mzazi ...ni yatima!
 
Ni km baba anayewaacha watoto anaenda kwa watoto wa jirani anaowana babu kubwa kutafuta sifa na jina, mwisho wa siku watoto wa jirani watamuona anajipendekeza tuu au anataka jiongeza daraja wakati sio daraja lao.
 
Hii nchi sijui CCM iliumbwa na shida gani? Kwa yanayfanyika Arusha hata kwa wasio wahanga ni shida kuelewa haya mazingaombwe.

Najiuliza itakuweje kwa wahanga wa tetemeko la Bukoba wakiskia na kuona mgao wa toyo ktk jimbo la upinzani Arusha?
Ukijaribu kuingia ndani unaweza kugundua kwamba hela za tetemeko ndio mtaji wa Toyo hizo , nchi hii ikipona laana nitashangaa sana !
 
Ukijaribu kuingia ndani unaweza kugundua kwamba hela za tetemeko ndio mtaji wa Toyo hizo , nchi hii ikipona laana nitashangaa sana !
Haha..kwa hali hii huwezi mzua mtu asifikiri awezavyo fikiri.Kwa ukatili na majibu dhidi ya watu walioathirika bukoba,wakati watu wazima arusha wanaombewa,msaada..
 
Back
Top Bottom