kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,252
- 16,169
Uzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa.
Kazi mliyompa Mzee Wasira ya uwenyekiti wa CCM bara ni kazi nzito sana kwa Mzee kama Wasira aliyelitumikia taifa tangu awamu ya kwanza. Hivi ni kweli CCM haikutengeneza vijana wengine kama Wasira? Na je, Mzee Wasira haikutengeneza vijana wengine kama yeye?
Mzee Wasira atapumzika lini? Atafurahia kucheza na wajukuu na vitukuu vyake lini?
Kwa umri wake alipaswa kuhudumu kama Mzee wa kanisa sio mwenyekiti wa CCM. Succession plan haikufanyika vizuri CCM, au CCM wenye maarifa wameisha au wanaoaminika wamepumgua sana.