CCM: Heko Rais Samia kupunguza tozo za miamala

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
843
Reaction score
1,024
CCM: Heko Rais Samia kupunguza tozo za miamala.

Na mwandishi wetu,
Dar es Salaam.

"Chama Cha Mapinduzi kinasifu na kupongeza msimamo imara na thabiti wa @ Rais Samia wa kujali na kuwasikiliza wananchi kushughulikia malalamiko yaliyotokana na makato makubwa kwenye miamala ya simu" Shaka Mwenezi Taifa.

"Punguzo la tozo hizo litaleta unafuu kwa wananchi ambao wengi wamekuwa wakitumia miamala ya simu kuendesha shughuli za kiuchumi na kusaidia wahitaji" Shaka Mwenezi Taifa

"Uamuzi wa serikali umetolewa wakati muafaka ingawaje wananchi bado wana wajibu wa moja kwa moja kuchangia maendeleo ya Taifa" Shaka Mwenezi Taifa

"Kitendo kilichofanywa na serikali ya Rais Samia ni cha kizalendo kwa kuwajali wananchi wake na kwamba ameonesha uungwana wa kiwango cha juu kusikiliza kilio cha wananchi na kutekeleza matakwa yao" Shaka MweneziTaifa.

"CCM inampongeza @ Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwasikiliza wananchi kuhusu sakata la tozo za miamala ya simu ambapo alitoa maelekezo ya viwango hivyo kutazamwa upya na sasa imepunguzwa kwa asilimia 30 huku makampuni yakipunguza kwa asilimia 10" Shaka Mwenezi Taifa

"Kazi ya kujenga nchi ni wajibu wa watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa. Uamuzi huu ni upendo mkubwa alionao kwa wananchi anaowaongoza ili washiriki kuchangia maendeleo ya nchi yao kwa furaha" Shaka Mwenezi Taifa

"Hata hivyo kila mwananchi anatakiwa kuelewa kazi ya ujenzi wa nchi, kuweka msukuko wa maendeleo na shime ya upelekaji huduma za jamii katika maeneo yote ni kazi na jukumu la kila mwananchi kwani serikali ni watu na watu ndiyo wananchi wenyewe" Shaka Mwenezi Taifa

"Watendaji wote dhamana ni vyema kuelewa kuwa kazi ya kumsadia Rais katika kila eneo ni wajibu usiohitaji kuelekezwa wala kusukumwa badala yake kila mmoja atimize wajibu wake ipasavyo wakiweka mbele maslahi ya umma" Shaka Mwenezi Taifa

" Niwasihi watanzania kupuuza uvumi unaoenezwa mitaani kuwa serikali ina mpango wa kusitisha elimu bila ada kwenye jambo hilo serikali ya Rais Samia imejipanga vizuri sana kuhakikisha elimu inatolewa bure na yenye viwango" Shaka Mwenezi Taifa

"Serikali ya Rais Samia itaendelea kugharamia mpango wa elimu bila ada kwani unawagusa na kuwanufaisha wananchi walio wengi hivyo hila zozote za kutaka kuichafua serikali hazitafanikiwa " Shaka MweneziTaifa

"Serikali ya Rais Samia zaidi itaendelea kutatua changamoto zilizokuwa zikikabili mpango huu ili wanafunzi wakitanzania wapate elimu katika mazingira mazuri zaidi. Hivyo niwaombe wananchi wapuuze taarifa zinazodai serikali itausitisha." Shaka Mwenezi Taifa

"Usikivu, Unyenyekevu, Busara, Ustahamilivu na Utayari wa Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa suluhisho sahihi kwenye uongozi wake hasa katika utatuzi wa kero za wananchi kweli ni (MAMA SULUHU)" Shaka Mwenezi Taifa

20210901_200422.jpg
 
View attachment 1920094
Ccm nani kawaroga?
 
UPUUZI MTUPU! Huu ujinga wenu Watanzania tumechoshwa nao.

Hivi nyie maccm mnatuchukuliaje?? Hizo tozo zililetwa na Chadema? Mnatengeneza tatizo kisha mnakuja na ngojera zenu, mapunguani nyie
 
Kwahiyo kazi kubwa ya Shaka ni kusifia kazi ya mwenyekiti wake wa chama, akimaliza anasubiri mwisho wa mwezi kwenda kuchanja ATM card!!
 
Wanafiki wakubwa nyie
 
Kwani waliopitisha hizo tozo kwa mbwembwe ni wabunge wa chama gani na mwenyekiti wao ni nani?
 
Nimechukizwa sana kumpa heko mnyonyaji ,yaani tozo meweke wenyewe baada ya luwachuna wananchi huko Nangwandasijaona na namtumbo Sasa mnasema heko baada ya kuzipunguza ??
 
CCM: Heko Rais Samia kupunguza tozo za miamala.

Na mwandishi wetu,
Dar es Salaam.

"Chama Cha Mapinduzi kinasifu na kupongeza msimamo imara na thabiti wa @ Rais Samia wa kujali na kuwasikiliza wananchi kushughulikia malalamiko yaliyotokana na makato makubwa kwenye miamala ya simu" Shaka Mwenezi Taifa.

"Punguzo la tozo hizo litaleta unafuu kwa wananchi ambao wengi wamekuwa wakitumia miamala ya simu kuendesha shughuli za kiuchumi na kusaidia wahitaji" Shaka Mwenezi Taifa.

"Uamuzi wa serikali umetolewa wakati muafaka ingawaje wananchi bado wana wajibu wa moja kwa moja kuchangia maendeleo ya Taifa" Shaka Mwenezi Taifa.

"Kitendo kilichofanywa na serikali ya Rais Samia ni cha kizalendo kwa kuwajali wananchi wake na kwamba ameonesha uungwana wa kiwango cha juu kusikiliza kilio cha wananchi na kutekeleza matakwa yao" Shaka MweneziTaifa.

"CCM inampongeza @ Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwasikiliza wananchi kuhusu sakata la tozo za miamala ya simu ambapo alitoa maelekezo ya viwango hivyo kutazamwa upya na sasa imepunguzwa kwa asilimia 30 huku makampuni yakipunguza kwa asilimia 10" Shaka Mwenezi Taifa.

"Kazi ya kujenga nchi ni wajibu wa watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa. Uamuzi huu ni upendo mkubwa alionao kwa wananchi anaowaongoza ili washiriki kuchangia maendeleo ya nchi yao kwa furaha" Shaka Mwenezi Taifa.

"Hata hivyo kila mwananchi anatakiwa kuelewa kazi ya ujenzi wa nchi, kuweka msukuko wa maendeleo na shime ya upelekaji huduma za jamii katika maeneo yote ni kazi na jukumu la kila mwananchi kwani serikali ni watu na watu ndiyo wananchi wenyewe" Shaka Mwenezi Taifa.

"Watendaji wote dhamana ni vyema kuelewa kuwa kazi ya kumsadia Rais katika kila eneo ni wajibu usiohitaji kuelekezwa wala kusukumwa badala yake kila mmoja atimize wajibu wake ipasavyo wakiweka mbele maslahi ya umma" Shaka Mwenezi Taifa.

" Niwasihi watanzania kupuuza uvumi unaoenezwa mitaani kuwa serikali ina mpango wa kusitisha elimu bila ada kwenye jambo hilo serikali ya Rais Samia imejipanga vizuri sana kuhakikisha elimu inatolewa bure na yenye viwango" Shaka Mwenezi Taifa.

"Serikali ya Rais Samia itaendelea kugharamia mpango wa elimu bila ada kwani unawagusa na kuwanufaisha wananchi walio wengi hivyo hila zozote za kutaka kuichafua serikali hazitafanikiwa " Shaka MweneziTaifa.

"Serikali ya Rais Samia zaidi itaendelea kutatua changamoto zilizokuwa zikikabili mpango huu ili wanafunzi wakitanzania wapate elimu katika mazingira mazuri zaidi. Hivyo niwaombe wananchi wapuuze taarifa zinazodai serikali itausitisha." Shaka Mwenezi Taifa.

"Usikivu, Unyenyekevu, Busara, Ustahamilivu na Utayari wa Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa suluhisho sahihi kwenye uongozi wake hasa katika utatuzi wa kero za wananchi kweli ni (MAMA SULUHU)" Shaka Mwenezi Taifa.
 
Safi sana Mhe Shaka, Tunakuelewa sana, Keep on moving,
 
Ila nadhani walisifu kodi ilipoiletwa kama kodi ya uzalendo.
Tanzania tuna safari ndefu kufikia kuishi imani zetu
 
Sometimes inabidi uwe mlemavu wa akili ili kuelewa baadhi ya mambo na kuyaona sawa.

Nimesikitika sana kumsikia Waziri wa fedha akisema kuwa gharama hizi (tozo) zilikuwepo tangu zamani huku akitolea ufafanuzi kwa kunukuu msemo wa Tuma na yakutolea.

Sijui kama ni uelewa, makusudi au kuwaona watu hawana utambuzi kiasi hicho.

Kuweka tozo sioni kama ni kosa sana, hasa kama zitatumika kwa malengo yaliyokusudiwa.
Kosa naliona kwenye maelezo ya wahusika pamoja na upangaji wa viwango.
 
Back
Top Bottom