Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,699
- 149,927
Nawambia mapena hatutaraji kuona "undumilakuwili" kwa kutuambia hotuba ya waziri wa fedha ni muhimu hivyo siku itakaposomwa Bunge litakuwa live.
Naongea hivi kwasababu najua bajeti hiyo itakuwa ya kujipambanua hivyo mnaweza kabisa kutaka iwe live na baada ya hapo mjadala wake ukaendelea gizani.Tumeshawajua ni wapi mnapenda camera na wapi hampendi camera.
Isitoshe,hatutarajii Bunge likaanza kuwa live siku chache kabla ya hotuba hiyo ili tu mfanikishe hotuba hiyo kuwa live.Kama mtaamua Bunge liwe live basi lianze sasa vinginevyo subirini mpaka Bajeti ya waziri wa fedha nayo isomwe gizani ndio Bunge liwe live kama mtaamua hivyo.
Maadam mmeshasema Bunge lisiwe live,basi lisiwe live kwa shughuli zote za Bunge iwe ni siku ya hotuba ya waziri wa fedha au siku waziri mkuu anaahirisha Bunge.
Tunaanza kutabiri na kuyasema haya mapema kwasababu tumeshawasoma nyinyi ni watu wa nama gani na nini mnaweza mkafanya hapo baadae.