CCM: hatuna haja wala mda kuwabembeleza ukawa

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
Ccm imesema haiwezi kuwabembeleza ukawa, wala kuwaangukia warudi kwenye meza ya mazungumzo na hatimaye warejee kwenye bunge hapo mwezi augost. Aidha ccm imempiga stop samwel sitta kufanya mazungumzo na ukawa. Ccm imesema yanayofanywa na UKAWA ni utoto, na wao kama chama hawawezi kucheza ngoma ya kitoto, wala hawataruhusu serikali ya chama chake kucheza ngoma ya watoto....wakikua wataacha.
 
Ukishaona habari inaandikwa jumla jumla wakati chama kina msemaji ujue hiyo imewekwa makusudi ili hojaji ya nani alisema ipate uhai!!!!!!

Mbona jina la mwenyekiti wa bunge umeweka? ?????!!!!
Weka jina la aliyesema kwa niaba ya chama ili kupata kumbukumbu sahihi na historia ikae sawa!!!!!
 
Uliwahi kuona punguani anaandika habari kwa ukamilifu wake?
 
Ccm imesema haiwezi kuwabembeleza ukawa, wala kuwaangukia warudi kwenye meza ya mazungumzo na hatimaye warejee kwenye bunge hapo mwezi augost. Aidha ccm imempiga stop samwel sitta kufanya mazungumzo na ukawa. Ccm imesema yanayofanywa na UKAWA ni utoto, na wao kama chama hawawezi kucheza ngoma ya kitoto, wala hawataruhusu serikali ya chama chake kucheza ngoma ya watoto....wakikua wataacha.

Kasome waraka wa Askofu Kakobe kwa rais wenu na chama chenu. Kiburi chenu ndo kitawaangamiza. Mmeifanya nchi hii kama mali ya CCM. Mjue kuwa wapo Watanzania wengi ambao si wanachama wa vyama vya siasa. Laiti ingekuwa katika uwezo wangu ningeamua nchi hii isiwe na vyama vya siasa. Kwani hatuwezi kuendesha maisha bila ya vyama vya siasa? Nianavyo mimi nchi inaweza kuendeshwa bila ya vyama vya siasa na bado maisha yakenda vizuri, ili mradi kuwe na usimamizi mzuri wa sera za maendeleo na sheria za nchi .
 
CCM inampiga stop Samuel Sitta kuzungumza na UKAWA kwa mamlaka ipi?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hako ka kakobe hakakui? Tunaongea na mwenye kobe sio hako kakobe
 
CCM inampiga stop Samuel Sitta kuzungumza na UKAWA kwa mamlaka ipi?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hilo ndio swali nami nilitaka niulize. Kama wamefanya hivyo basi napata picha kuwa CC ya CCM inaendeshwa ki mbumbumbu na kutojitambua. Na hilo ni hatari kwa vile hicho ni chombo kikuu cha chama Tawala.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hahahaha ccm ni mafa......ra kbs ukitaka kujua ni mafa.......ra na yamekaribia kufu, walitanganza kurudi msitumi kujiunga na wale sokwe,
Kunaviongoz wengi tu wa ccm hawastahil kuishi sehem zenye watu, walizoea kuishi na wanyama masokwe ndo maana walitangaza kuingia msituni,
Waambien wanasuburi nn masokwe yanawasubiri huko porin,
Hata pinda nasikia pia na yy ni mmjo wao wa kukimbilia porin!!!
 
Ccm imesema haiwezi kuwabembeleza ukawa, wala kuwaangukia warudi kwenye meza ya mazungumzo na hatimaye warejee kwenye bunge hapo mwezi augost. Aidha ccm imempiga stop samwel sitta kufanya mazungumzo na ukawa. Ccm imesema yanayofanywa na UKAWA ni utoto, na wao kama chama hawawezi kucheza ngoma ya kitoto, wala hawataruhusu serikali ya chama chake kucheza ngoma ya watoto....wakikua wataacha.
Kama kweli CC ya CCM chini ya Kikwete ndiyo imetoa azimio hilo la kumpiga stop mwenyekiti wa BMK Samuel Sitta kutokutana na baadhi ya wajumbe wa BMK, waliosusia BMK, basi CC ya CCM na Kikwete wana matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri!
 
Back
Top Bottom