CCM: hatuna haja wala mda kuwabembeleza ukawa

CCM: hatuna haja wala mda kuwabembeleza ukawa

Ccm imesema haiwezi kuwabembeleza ukawa, wala kuwaangukia warudi kwenye meza ya mazungumzo na hatimaye warejee kwenye bunge hapo mwezi augost. Aidha ccm imempiga stop samwel sitta kufanya mazungumzo na ukawa. Ccm imesema yanayofanywa na UKAWA ni utoto, na wao kama chama hawawezi kucheza ngoma ya kitoto, wala hawataruhusu serikali ya chama chake kucheza ngoma ya watoto....wakikua wataacha.
Nyie endeleeni tu jamankwani mmesikia ukawa tunataka kubembelezwa??endeleen kutengeneza katiba yenu ya chama sisi tuta tengeneza ya wananchi.
 
Kiongozi yeyote akishiba kupindukia hajali tena wananchi na huu ni wakati wa kumjua kiongozi wa kweli na kuwajibika ili kuacha kulalamika baa aye.
 
Waliokuwa hawana haja niwale walioondoka wakiwawacha mle na matusi yenu .halafu malumbano yanini si malizeni tu kupitisha katiba yenu
 
Kila saa wako majukwaani kuwabembeleza ukawa leo unakuja na kauli ya kujifariji
Mmeshikwa pabaya kwa kweli this time.
 
Ccm imesema haiwezi kuwabembeleza ukawa, wala kuwaangukia warudi kwenye meza ya mazungumzo na hatimaye warejee kwenye bunge hapo mwezi augost. Aidha ccm imempiga stop samwel sitta kufanya mazungumzo na ukawa. Ccm imesema yanayofanywa na UKAWA ni utoto, na wao kama chama hawawezi kucheza ngoma ya kitoto, wala hawataruhusu serikali ya chama chake kucheza ngoma ya watoto....wakikua wataacha.

Nani amekupa kuwa msemaji wa ccm?? UKAWA wameiomba lini ccm ili warudi BMK??
 
Back
Top Bottom