CCM hata kwa Ushirikina pia wamethubutu-wameweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM hata kwa Ushirikina pia wamethubutu-wameweza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OKW BOBAN SUNZU, Mar 5, 2012.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,885
  Trophy Points: 280
  Siasa zina mambo yake, lakini siasa za CCM zimevuka mipaka, kuna rekodi/tetesi mbalimbali zikihusisha makada wa CCM ktk ushirikina katika namna moja au nyingine. Ktk bunge la Sam Sitta kulisikika tetesi nyingi kuwa Mh.Chenge alimwaga ndumba mjengoni.Huko majimboni hali huwa tete wakati wa kura za maoni kiasi cha wagombea kupoteza hata maisha ktk mazingira ya kutatanisha.

  Wagunge/Mawaziri attandance yao kwa Waganga wa kienyeji ni nzuri kuliko hata bungeni. Kuna bwana mmoja alinipa ushahidi jinsi waziri mmoja wa kanda ya kaskazini anavyotoa ng'ombe zaidi ya 20 kama sadaka na kwamba uwepo wa baadhi ya mawaziri wasio na uwezo ktk cabinet ya JK ni kutokana na JK kunasa ktk mvuto wa kishirikina.

  Wanajamii, hili lina ukweli wowote?Kama ni kweli, nadhani anguko hili la CCM ni hasira ya Mungu juu ya ushetani huu
   
 2. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usio na chembe ya shaka, mbona hilo liko wazi linajulikana na wengi
   
 3. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  PHP:
  83.4% ya watanzania hupenda kutumia ndumba. wanafanyishwa mambo ya kipumbavu na waganga wa kienyeji ili washirkilie vyeo, wapate vyeo, wacheze soka na hata kuruka na madwa ya kulevya air port bila kukamatwa. Ndio maana inatujia vigumu kujenga uchumi kama ilivyo kwa mafanikio ya Kenya.

  wewe angalia Pale Yanga au Simba jinsi mashabiki washilikina wanavyo washawishi wachezaji kwenda kujizindika kwa waganga wa kienyeji ili mpira wao usishuke. Yaani wachezaji huliwa sana pesa kwa kulipa waganga wa kienyeji.

  wakati wa chama chashika hatamu 90% ya wakuu wa wilaya wote walikuwa ni wenye elimu ya darsa la saba. Hivyo ili kutoonekana ni wababishaji, walikuwa wanajihushisha sana na mambo ya kishilikina wakiamini wataonekana ni wazito kivyeo!
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  ukiwa ccm sharti

  1. uwe mwongo
  2. uwe mchoganishi na mnafiki
  3. uwe mchawi au kwenda kwa waganga
  4. uwe na roho mbaya
  5. uwe mjinga lakini una confidence na kama una akili basi mwoga! awa wenye akili huwa tayari wanakuwa wameisharogwa
   
 5. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  6. Uwe unafikiri kwa tumbo
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280

  niliisahau hii
   
Loading...