mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 431
UCHAGUZI UWT MKOA WA LINDI
Tarehe 30-Julai-2025, Umoja wa Wanawake Tanzania- Chama Cha Mapinduzi- UWT Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kuchagua Wabunge wa Viti Maalum- kuwakilisha Mkoa wa Lindi- katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jumla ya Kura zilizopigwa- 1192
Kura zilizoharibika- 10
Kura Halali- 1182
Matokeo ya Uchaguzi;
1. Ndugu Kijakazi Yunus Mohammed - KURA 942
2. Ndugu Zainabu Rashidi Kawawa- KURA 492
3. Ndugu Zena Maulid Katambo- KURA 362
4. Ndugu Tecla Mohamedi Ungele- KURA 324
5. Ndugu Riziki Said Lulida- KURA 218
6. Ndugu Maimuna Ahmada Pathan- KURA 29
Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi-
RC MTWARA- Col. Patrick Sawala
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi-
DC Lindi- Victoria Mwanziva
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE