Nimeshangaa sana leo.
Hapa Arusha kuna ujio wa Mwenezi wa CCM Taifa bwana Makonda.
Cha kushangaza barabara zimefungwa. Watu wanalazimishwa kufunga biashara zao ati waka msikilize Makonda.
Najiuliza, kama kila kiongozi akifika mahali biashara na barabara zina fungwa, je maendeleo yata patikana lini?