Alipokuwa Mangula katibu mkuu wao ccm ilikuwa nna uhafadhali leo wangarisha sura ndo wafikiriaji wao, wao ndo watoa matamko, chama kimebaki kuwa mali ya jamaa wa Msoga
Waziri mkuu hajui hata kama ndo waziri mkuu, kimsingi hajua wajibu na mamlaka yake, mawaziri na manaibu ndo as if vitoto vya
chekechea, wasomi waliomo humo ndo vilaza hakuna mfano, hawajitambui, wala hawana mchango wowote, waone wakiwa bungeni michango yao ni ipi