Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,204
- 3,277
CCM hamumtendei haki Dr Benson Banna. Kama kuna wasomi waliojitoa ufahamu basi msomi huyu ni namba moja.
Pamoja na usomi wake lakini amehakikisha anatoa Argument kama mtu wa Darasa la saba ilimradi aisifu CCM.
Mfano juzi kahojiwa kuhusu kitendo cha yule mama wa kesi ya mirathi kumvaa Magufuli, badala ya Msomi huyu kuchambua hali ya mambo ilivyo hadi yule mama kafikia uhamuzi huo, lakini yeye akaishia kumsifu Rais kwa kumruhusu yule mama aongee.
Lakini pamoja na sifa hizi, bado CCM hawampi cheo, kila siku utasikia watu wanateuliwa na Rais kuwa wabunge au makatibu wakuu, lakini yeye kaachwa pembeni.
Tafadhari CCM muoneeni huruma msomi huyu maana kajidhalilisha vya kutosha kwa ajili yenu