CCM hamtuwez na nyie kama hamuhongi fanyen hivi

mal-sir

Senior Member
Jan 20, 2015
136
12
Mm nawaapia ccm kama co wahongaj wajarb kuahirsha mkutano wao kama ukawa ili tujue wanaofka n kwa mapenz yenu cc tungekua tunahonga ingekua ngum kuahirsha mkutano kama nyie coz tungeogopa hasara ila n mahaba ya wa tz kwa ukawa
 
Mlivyo na mihela isiyo na kazi kwani kwenu shida kurejesha umati huo upya? Sisi mipango yetu uhakika. Na kwa nini tuahirishe? Sisi hatuigizi kama nyinyi
 
Back
Top Bottom