KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Kutokana na mwenendo unaofanywa na CCM na Serikali yake ni dhahiri watawala hao hawapendi kuona Democrasia ina tamalaki nchini,
Inaumiza sana kuona wananchi wametumia haki yao ya kikatiba kuweza kumchagua kiongozi wanayemtaka lakini tawala dharimu zinafinyanga haki kweli ni kihashiria kisicho kuwa kizuri kwa mstakabali wa taifa...Tumeona juzi uchaguzi wa umeya jinsi ilivyokuwa mpaka ikamfanya Mh kuagiza kufanyika uchaguzi yote haya ni CCM kutotaka kuachia madaraka kwa njia ya Kura!
Zanzibar nimeona Mh Again anaapa kuwa Rais wa 7wa Zanzibar akisema atailinda katiba na kuitetea wakati Jana yake kaisigina!!Sasa hii ni demoklasia gani??Mimi niwashauri CCM wapeleke mswaada Bungeni wakuondoa vyama vya upinzani na kwa wingi wao utapita tu.
Nimalize kwakusema haki ikifinyangwa watu uitafuta kwa namba nyingi.