CCM hakuna namna nyingine zaidi ya umpigia magoti Mbowe

Ndugu aminiusiamin mm mtanzania hutanisoma tu namaanisha saa tano inakaribia hiyo wezi hatutaki kuwaona ndan wakichangia hoja umeninukuu vibaya shekh hela iliyo liwa hapo mpwa tunajengwa viwanjwa vitano kama hiki tulichonacho cha taifa kama inaweza kujenga viwanjwa vtano je dawa ingekua na tatizo au madawati au vitanda hsptl waliketa ujinga kama jana tunanyanyua majeshi kama kawa kama dawa wezi watooookeeeeeer
 
hivi wewe mtu ni mtanzania kweli? Ni lipi katika haya hujaelewa kuhusu hizo hela?
Au ni kubishana kwa hoja zisizo na mashiko? Au wewe ni mmoja wa walipokea hizo fedha.
Unataka kuwaambia umma kwamba zile fedha sio chafu?kwa lipi na mantiki ipi?
Naomba majibu tafathali.

mjomba hujanisoma vizur tuliza mzuka shekh
 
Wananchi wanajua kinachoendelea katika sakata hili. kupitia Radio, TV na magazeti wananchi wamejua ukweli kuwa zile ni fedha za umma licha ya baadhi ya wabunge wanafiki wa CCM kutaka kupotosha. Hakuna shaka kwamba pesa zilizolipwa kwa PAP hazikupaswa kulipwa. Kuna ufisadi katika mchakato wote unaomhusisha hata Rais.

Wito wangu kwa UKAWA na wabunge wote wa CCM wazalendo: Safari hii sio Werema, Maswi na Muhongo tu wanaopaswa kuondoka. Ili kukata mzizi wa fitna, Pinda aondoke yeye kwa kuwa yeye ndo msimamizi wa mawaziri wote na shughuli zote za serikali na hili suala alilifahamu fika ndio maana amekuwa akilitetea. Simamieni hapo la sivyo mtazidi kuchezewa akili na akina chenge na werema.
 
Ni ukweli usiopingika..
Type ya kina Lusinde,Asumptha,ashki majinuni nk hawana uwezo wa kuona haya
 
Mkuu uchambuzi mzuri. nilifuatilia hatua kwa hatua kila kitu bungeni. Pendekezo la chenge likikuwa la kummaliza raisi lakini hata Angela Kairuki kumuunga mkono chenge hakuona implication ya azimio hilo. Kwa maana nyingine raisi ndo angekuwa kikaangoni kwa kushindwa kuwajinisha watuhumiwa. Hii ingemuweka pabaya mbele ya wananchi wake na wafadhili. Kwahiyo angechukua hatua ya kuwajibisha watuhumiwa kuokoa utawala wake. Na hii ingeliweka bunge pazuri bila kuingilia mamlaka nyingine.
 
Pole msio taka fumbua macho ESCROW is Over na imekwisha barikiwa kwa maji ya Kilaini.

Sasa tungoje kumaliza la katiba ya the genious mtemi kisha wembe ni ule ule....................

Upungufu wa Kinga za Ufahamu (UKU) haupoi kwa ARV. Nashukuru sana wanasiasa wetu watz kwa kutufundisha ukomavu wenu wa maslai ya vyama vyenu. Ila mkumbuke huu UKU sio mwisho wake ni kifo hapana mwisho wake kaburu anaujua maana ulishawai ibuka South Africa.
Pole sn Tanzanian genious Mtemi kwa kazi nzuri unayoifanya kwa maslai yk na chama chako. Wish u all da best My Chief.
 
spika anatakiwa avunje kamati ya PAC na iundwe tume ya uchunguzi kuchunguza upya sakata hili kwani report ya zito imeleta maswali mengi kuliko majibu
 
Mbowe kazeni uzi!!! hivyo viazimio vya kimbwa haviwezi kurudisha pesa zetu na kuwawajibisha hao majambazi wa CCM! Kazeni buti!!!!!
 
Zito kama binaadam alistuka kuwa amekosea hasa alipo kubali kauli change itumike kwa kila kipengele, alisema amechoka ili kuwapa nafasi wengine wasahihishe, ila makinda alijaribu kutoa nafasi kwa mboe bila mafanikio, sikufahamu kama mboe aliamua kufanya SIASA au ndio usingizi na machovu ila hata mazoea inawezekana yamechangia.
 
Mbowe huyu mbowe, apigiwe magoti na CCM? Atasuburi sanaaaa...View attachment 206534

Unabisha kwa porojo wakati uhalisia umeonekana jana, wewe kwa ujinga na upumbavu ulionao ulitaka uone wakiwa wamepiga magoti. na nikikuambia siku ile Zitto na Fulikunjombe walipokuwa wakisoma ile repoti WEREMA, PINDA na PROF MUONGO walikuwa wanalia utabisha?
 
kama kila tunapofikia kufanya mamuzi bungeni ukawa wanakimbia hii siasa gani? kwa nini ukawa wasifahamu kwamba kwa mujibu wa muundo wa bunge la sasa lazima tofauti za maamuzi zinaamliwa kwa kupiga kura? na lazima ukawa wajue kwamba kukwama kwa maamuzi ya jana kutasababisha JK kuchelewa kuchukua hatua kwa wote ambao angechukua hatu! mimi nazan Ukawa wako kinyume na masrahi nyan Taifa hili na ndo maana wanaona bora watu wafe hosp kuliko kulizungumza swala bungeni watanzania wakishuhudia.
 
ccm wasikubali kufanya maamuzi kwa kuwapendeza ukawa itakula kwao.
wafuate facts na si shinikizo la kisiasa whatever the outcome ukawa wataitumia kisiasa

kwenye hii thread wewe umeonesha atleast kumwelewa mtoa mada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom