CCM hakuna kama Lowassa


wakati wa kukata roho huwa marehemu mtarajiwa anakuwa katika wakat mgumu sana. Ndo kinachotokea kwa ccm sasa! RIP magamba!
 
Tatizo huyo lowasa hajui kujiexpress.nimekua nikimtizama kwenye mahojiano ,yaani hawezi kabisa kuongea.ATAZIFANYAJE KAMPENI.WATAMPIGA BAO.

Huyu muongeaji mzee wa vidole juu a.k.a Mzee wa mipasho amelifanyia nini taifa hili tangu 2005
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…