Utake usitake Kwa sasa CCM hakuna mtu kama Lowasa, mimi sina maslahi ya moja kwa moja na siasa.....
4. -------- endeleeni kutaja ili kuwasaidia CCM vinginevyo watashindwa kutema kohozi 2015
Mada zingine zinaonyesha waziwazi mtoa mada ana maslahi binafsi.
UCHAPAKAZI wa Chiligati ni upi?
Utake usitake Kwa sasa CCM hakuna mtu kama Lowasa, mimi sina maslahi ya moja kwa moja na siasa wala Lowassa lakini najua kitu kizuri kinafananaje. Watanzania tusije tukadanganyika kwamba Lowasa ni fisadi wa Richmond, Richmond ni mfumo mzima wa CCM na Serikali yake, ndo maana hakuna aliyefungwa kwenye hili. Ili CCM iweze kukohoa na kutema kohozi 2015 lazima wawafikirie wafuatao kwenye kinyang'anyilo:
1.Lowassa: Ni mchapakazi
2. Chiligati (Capteni): Ni mchapakazi na hana kashfa yoyote kubwa
3. Magufuli: Ni mchapakazi
4. -------- endeleeni kutaja ili kuwasaidia CCM vinginevyo watashindwa kutema kohozi 2015
Tatizo huyo lowasa hajui kujiexpress.nimekua nikimtizama kwenye mahojiano ,yaani hawezi kabisa kuongea.ATAZIFANYAJE KAMPENI.WATAMPIGA BAO.

hakuna kama lowasa,...magufuli ni mzuri kwenye mdomo to kuongea hata takwimu ambazo hazipo..ila amebarikiwa kuongea halafu wananchi wanaopokea bila kutathmini wakamkubali...magufuli hana lolote, kumbuka kwenye uuzaji wa nyumba, yeye pia ilisemekana amenunua nyumba, ingine kamnunulia mdogo wake na nyingine kamnunulia girlfriend...lakini akija kwa wananchi anajifanya anachapa sana kazi..ukienda usukumani huko, wanamsifia sana kumbe hawajui yaliyojificha kwake...anafaa kuwa waziri tu na si rais...kwa urais, tunahitaji Lowasa awe rais.....amini msiamini kama alishafanya makosa au uzembe wowote kipindi kile, mkimpa urais msijefikiri atafanya madudu tena, ameshaonja joto la jiwe, atakuwa makini kuliko maelezo kwasababu anajua kusutwa ati...amesutwa na kila mtz kwenye richmond, hivyo asingependa kuingia kikaangoni tena...tunataka lowasa awe rais.