Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Kama hali ndio hii unatetea nini ?Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete CCM,Sasa CCM iko na nani?
Mnasema hiki chama kina maisha marefu kweli?
Chama kimebaki na Pole pamoja na Dr Bashiru ambao hata wakisema CCM oyeee yaani wanona aibu, hawafanyi na salamu hizi kwa sababu hawajazaliwa wala kulelewa katika itikadi zake. Mtu kama Nape au Makamba akisema CCM oyee utaona inatoka moyoni kabisa.
CCM kimebaki na vijana wachache wa UVCCM ambao wapo kimaslahi zaidi na wengine wapo humu, hawa ukikutana na mmoja mmoja pembezoni wanaongea mengine kabisa.
Watu wengi ni dhahiri sasa wamechoshwa na hiki chama kulingana na matendo yake. Hawana hamu nacho ndio maana wanaokishabikia ni wachache wanaonufaika na mfumo.
Wamebaki kama mayatimaYaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete CCM,Sasa CCM iko na nani?
Mnasema hiki chama kina maisha marefu kweli?
Chama kimebaki na Pole pamoja na Dr Bashiru ambao hata wakisema CCM oyeee yaani wanona aibu, hawafanyi na salamu hizi kwa sababu hawajazaliwa wala kulelewa katika itikadi zake. Mtu kama Nape au Makamba akisema CCM oyee utaona inatoka moyoni kabisa.
CCM kimebaki na vijana wachache wa UVCCM ambao wapo kimaslahi zaidi na wengine wapo humu, hawa ukikutana na mmoja mmoja pembezoni wanaongea mengine kabisa.
Watu wengi ni dhahiri sasa wamechoshwa na hiki chama kulingana na matendo yake. Hawana hamu nacho ndio maana wanaokishabikia ni wachache wanaonufaika na mfumo.
Simuoni mangula, simuoni Mkono, sisikii wasira, hakuna mwigulu wala Mwakyembe sio mwandosia wala malecela.Chama kongwe hatimaye kimeishiwa pumzi
Simuoni mangula, simuoni Mkono, sisikii wasira, hakuna mwigulu wala Mwakyembe sio mwandosia wala malecela.
Chama kimedoda kama dagaa wabichi waliochinaCCM Mpya imesuswa na kila mtu mpaka wanaCCM original wamekaa pembeni.
Baada ya Uchaguzi Mkuu, tarehe 28 Oktoba 2020 CCM itakuwa KANU. Yale makambale ya Lumumba yaanze kuiba mali za chama mapema. Wakizubaa, waweza kuamka siku ya Alhamisi tarehe 29/10/2020 ukakuta chama kimekufa jana siku ya Jumatano.Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete CCM,Sasa CCM iko na nani?
Mnasema hiki chama kina maisha marefu kweli?
Chama kimebaki na Pole pamoja na Dr Bashiru ambao hata wakisema CCM oyeee yaani wanona aibu, hawafanyi na salamu hizi kwa sababu hawajazaliwa wala kulelewa katika itikadi zake. Mtu kama Nape au Makamba akisema CCM oyee utaona inatoka moyoni kabisa.
CCM kimebaki na vijana wachache wa UVCCM ambao wapo kimaslahi zaidi na wengine wapo humu, hawa ukikutana na mmoja mmoja pembezoni wanaongea mengine kabisa.
Watu wengi ni dhahiri sasa wamechoshwa na hiki chama kulingana na matendo yake. Hawana hamu nacho ndio maana wanaokishabikia ni wachache wanaonufaika na mfumo.
Kuna mmoja yupo huko Facebook hua anasifia chama LA ccm balaa, siku moja nikakitana nae ana kwa ana , nikamuuliza mwana naona sasa hivi umeshachukua na kadi ya chama.Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete CCM,Sasa CCM iko na nani?
Mnasema hiki chama kina maisha marefu kweli?
Chama kimebaki na Pole pamoja na Dr Bashiru ambao hata wakisema CCM oyeee yaani wanona aibu, hawafanyi na salamu hizi kwa sababu hawajazaliwa wala kulelewa katika itikadi zake. Mtu kama Nape au Makamba akisema CCM oyee utaona inatoka moyoni kabisa.
CCM kimebaki na vijana wachache wa UVCCM ambao wapo kimaslahi zaidi na wengine wapo humu, hawa ukikutana na mmoja mmoja pembezoni wanaongea mengine kabisa.
Watu wengi ni dhahiri sasa wamechoshwa na hiki chama kulingana na matendo yake. Hawana hamu nacho ndio maana wanaokishabikia ni wachache wanaonufaika na mfumo.
Hodi. Tunaomba kura. Tumejenga uwanja wa ndege Chato.Kama hali ndio hii unatetea nini ?
View attachment 1598314
View attachment 1598312
View attachment 1598313
acha kutusemea,utafiti wako hauna mashiko tukutane tarehe 28 ndio utajua cccm inapendwa au vipiWatu wengi ni dhahiri sasa wamechoshwa na hiki chama kulingana na matendo yake. Hawana hamu nacho ndio maana wanaokishabikia ni wachache wanaonufaika na mfumo.
Ashukuriwe Mungu Jehovah kutuletea jiwe ili chama kimfieChama kimedoda kama dagaa wabichi waliochina
Sababu ya katiba yao mbovu ya mwenye kiti kuwa na nguvu kuliko wanachama yaani kuwa Mkubwa kuliko ccm hii ndo inayoiuwa ccm.CCM Mpya imesuswa na kila mtu mpaka wanaCCM original wamekaa pembeni.