CCM haitatamalaki katika utukufu tena

Hizo ndio zao..urefu wa kamba
Siku mbaya kazini
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi siasa ndani ya CHADEMA na uchaguzi wao hasa kama watapata viongozi wapya hususani mwenyekiti mpya kutakuwa na impact kubwa automatically ndani ya CCM na muelekeo mpya wa siasa za nchi kwa ujumla. kusini mwa Afrika vyama vya uhuru vimetingishwa na kutikisika, ilibaki CCM tu nayo inakutwa regardless inapenda au haipendi
 
Ccm imeshinda serikali za mitaa kwa 98%πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Freedom of expression 😳
Kwakweli mimi hii kitu huwa hainisumbui kabisa kichwani !
Kinachoumizaga kichwani ni ile mikataba mikubwa mikubwa kama ya madini na Gesi ! Pale Mwamba aliposemaga Tumepigwa !! 😳
 
Hapa ndio unagundua chama pendwa kinachoheshimika na kupendwa hapa nchini ni kipi.
 
Mbowe akishinda kutakuwa na mpasuko mkubwa sana.
Lissu akishinda pia na msimamo wake wa no reform no election, basi chama kisiposhiriki uchaguzi maana najua ccm hawatojali kama vyama vingine vitashiriki basi huenda ccm ikaipatia wabunge ACT wazalendo huku chadema ikiwa haina kitu. Hivyo ACT itageuka kuwa chama kikuu cha upinzani, ikiwa na wabunhe na ruzuku ya kufanyia siasa huku chadema kikiwa bila ruzuku na hoi.
Mwisho lissu atalaumiwa sana maana expectations vs reality.
 
chadema mpya chini ya lissu itagombea, uchaguzi wenyewe hufanyika mara moja katika kila baada ya miaka mitano. Akisusia uchaguzi ufanisi wake utapimwaje?
 
Inasikitisha mtu mzima kama wewe kujidanganya. Unaandika kujifariji kwa sababu unajua tayari chama chenu CHADEMA kimeshavurugika. CCM kwa sasa tunajipanga kukabiliana na upinzani wa vile vyama 14 kwa sababu mpinzani mkuu CHADEMA kashaanguka.
 
chadema mpya chini ya lissu itagombea, uchaguzi wenyewe hufanyika mara moja katika kila baada ya miaka mitano. Akisusia uchaguzi ufanisi wake utapimwaje?
Kasema no reform no election wewe unadhani ccm itafanya reform yoyote? Unless kama watabadili gear.
Sasa hilo la no reform no election litafanya ccm iwapatie chama kingine wabunge mfano act ili ndicho kigeuke chama kikuu cha upinzani na lionekane ni bunge shirikishi.
 
Inasikitisha mtu mzima kama wewe kujidanganya. Unaandika kujifariji kwa sababu unajua tayari chama chenu CHADEMA kimeshavurugika. CCM kwa sasa tunajipanga kukabiliana na upinzani wa vile vyama 14 kwa sababu mpinzani mkuu CHADEMA kashaanguka.
CCM kwa sasa tunajipanga kukabiliana na upinzani wa vile vyama 14 kwa sababu mpinzani mkuu CHADEMA kashaanguka.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…