juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,475
Leo nikiwa nimetulia,anakuja jamaa mmoja ambae tunafahamiana,,sijajua itikadi yake(yaani sijui chama chake),,ila maongezi yake mara nyingi ni kama yupo mwanaccm,,leo ananiuliza namna hii
JAMAA:ndugu yangu Lowasa atashindaaa?
MIMI:tukimpigia kura kwa wingi atashinda,kwa nini asishinde tukimchagua??
JAMAA:aaahh,ccm hawatakubali,(nikawa kimya)
JAMAA:ccm hawatakubali kuachia madaraka(kwa mara ya pili kaongea kauri hiyo).
Sasa nikashindwa kumuelewa kwa kweli,ikabidi nishindwe cha kumjibu zaidi nikampuuzia tu,maana sielewi aliniuliza akitaka nimpe majibu gani??