CCM haina tena imani na Watanzania

CCM imekuwa ya kufunga ofisi na makufuli na watendaji kukimbia ofisi. Na bado watateseka sana
 
Ccm haina imani na watanzania...pia watanzania hawana imani na ccm
 
Majigambo yote yale lakini inakuwaje wanaogopa Uchaguzi!?
Yaani hata mimi sikutegemea CCM safari hii wamekuwa waoga hivi yaani tuvyama twa upinzani vitatu vinawatoa jasho na hapo walinyima hata kufanya kampeni na mikutano ndio utakavyochoka.Si mtaani kwetu ingekuwa Enzi za kusimamisha nyundo na mtu wangechagua nyundo kweli watu wamechoka mpaka basi
 
Taarifa za uhakika ni kwamba polisi nao wako mbioni kuikana , watabaki na wasiojulikana wasiofika hata 200 .
 
Vyama upinzani vije na mkakati tuwaelewe sio kutulilia kwenye mitandao
 
Kweli.kabisa na wajue siku watamtoa mbowe na maalimu sef kwenye ulingo wa siasa wajue hali ya Tanzania itakuwa mbaya Sana manake ndio wanaowapoza wananchi kuwa na na aman
 
B
Bila uhuni CCM hawawezi kushinda
 
Kwani ilishawahi kuwa na imani na raia?
 
Yaani pamoja na yale madege yao, stigers, bado hawajiamini kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…