Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,835
- 50,521
Kilichobaki huko tz ni kiwanda cha wajanja wachache wanatafuna nchi kimya kimya
Niguse kinukeeeCCM haina imani na CCM itakuwaje na imani na Watanzania?
Membe Ni CCM na Ni Moto mchungu, CCM wanamuogopa na hawana la kumfanya
Yaani vyama vingine ndio wanafunga Ofisi? Wao ndio wanapora fomu za wagombea wao!?Sarakasi za kupangwa na wapinzani na mafisadi kutoka Saccos au?
Ogopa sana mpumbavu anapojaribu kulinda "Legacy" yake, atatumia kila mbinu kubaki alivyo!!Hivi taifa letu halina tena wazee wenye hekima kusema neno!? Viongozi wa dini wapo wapi!?
Umenena Mkuu.. Kama anakubalika hana haja ya kulazimisha na kuhadaa.. Na hiinitawaumiza sana maana wanafanya haramu ku justify halali.. Kama wanakubalika waache wananchi wawe guru na vyama vipige siasa kama kawaida.. Ni aibu hata wakienda nchi jirani maana watashidwa kuelezea ilikuwaje contestant wengi hivyo kukosa sifa kipindi hichi..Magufuli alidhani sera za kuuwa kufunga na kunyang',anya mali za watu zitamsaidia amekuwa mwenyekiti wa kwanza ccm kufanya organised crime kukataa uchaguzi yaani hana ushawishi watanzania walimkataa 2015 na sasa anathibitisha mwenyewe kwamba ni nguvu ya soda kisiasa Bure kabisa ni tapeli na hana nia njema na nchi hana wagombea ha ha
Mkuu ukibishana na kichaa wote mtaonekana vichaa, jisomee pita zako!Yaani vyama vingine ndio wanafunga Ofisi? Wao ndio wanapora fomu za wagombea wao!?