CCM Haina Mpinzani 2015!


Mia kwa mia unachukua! Huyu jamaa amejaribu kuleta thread ambayo points zake alitumia kujibu civics paper akapata F,sasa anataka apime upepo humu JF,SASA NAMWAMBIA take another F and Don't reseat again.
 

Mia kwa mia unachukua! Huyu jamaa amejaribu kuleta thread ambayo points zake alitumia kujibu civics paper akapata F,sasa anataka apime upepo humu JF,SASA NAMWAMBIA take another F and Don't reseat again.
 

Hebu tafakari yafuatayo:

1) Uhuru ni haki ya kila mtu. Hivyo, ilikuwa lazima watanganyika wapate uhuru wao suala lilikuwa wakati upi. Rejea historia ya Mkutano wa Berlin 1884/5, athari ya Vita vya Kwanza vya Dunia na Vita Vya Pili vya Dunia.
2) Amani, upendo na Mshikamano. Una amani gani wakati vyombo vya Dola na Usalama vinatumika kubana, kuuwa watu wasio na hatia na kuchakachua matokeo ya uchaguzi. Upendo gani unapokuwa una viongozi ambayo wanatanguliza ubinafsi kuliko maslahi ya Watanzania? Fikiria ubadhirifu wa mali ya umma unafanywa na watu waliopewa dhamana. Kutokana na hayo mshikamano haupo bali kuna kundi la walionacho na wasionacho.
3) Kuhusu barabara- ndugu tembea. umefika Nkasi? Mpanda?Manyovu? Mwanhuzi? Karagwe? Sikonge? Baada ya miaka 50 pamoja na utajiri wa mali asili nchi ilitakiwa iwe mbali kweli kweli.
4) Shule za Kata. Angalia matokeo NACTE 2010 na 2011. Elimu si majengo tu? Fikiria sana.
5) Mgomo wa madaktari umeonyesha wazi kuwa watawala wetu ni watu wasiosikiliza watu na kutojali wanyonge wakiwemo wagonjwa. Watu wamekufa wengi kutokana na serikali kutowasikiliza watu wake.
6) Ajira- hapa naona umeongelea ushabiki zaidi kuliko hali halisi. Ajira kwa vijana wasiosoma na waliosoma ni jinamizi linalokuwa kila siku.
7) Uchumi- si kweli uchumi wetu unakuwa kwa 7%. Rejea BOT economic Policy reports.
 
Tumepata uhuru kabla ya kuzaliwa CCM hapo 77. Pengine hawana upinzani katika kuiba kura
 
Ha ha ha!kama jina lako lilivyo!we jibu unalijua!nahisi unataka kutukumbusha kuwa ccm kifo tayari maziko ni 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…