CCM haina mpango mkakati wa kutekeleza ilani

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Jana nimemsikia Mbunge wa Ulanga akimjibu Mh.Mbowe Eti CCM inatumia Mpango Mkakati kutekeleza Ilani yake.Nadhani uwezo wa kupambanua mambo wa Mbunge wa Ulanga ni mdogo sana.Mbuge wa Ulanga nadhani hajui kuwa Ilani ya CCM haikuandaliwa Kwa kuzingatia Bajeti ya Nchi.

Ilani ya CCM miaka yote inaandaliwa Na Makada wa CCM wasio Na uelewa mpana wa masuala ya Uchumi Na Fedha.Hivi Mbunge wa Ulanga unajua suala la kuhamia Dodoma lipo kwenye Ilani ya CCM toka miaka dahari unadhani kwanini lilishindikana?Hata Uhamiaji wa Leo wa kwenda Dodoma ni kulazimisha hakuna mkakati wowote ndio maana unasuasua.

Mkakati wa Bajeti ya CCM Kwa maenldeleo 2016/2017 umetekelezwa Kwa asilimia 34 ndio Mkakati wa CCM?
 
Mkuu huoni ka ni Fursa hiyo...Waache Wapoteane 2020, Tunachukua nchi kiulaini
 
Wanaongozwa a wishful though, a mere political platitude. Maendeleo ni dhamira sio motto wala vision
 
Wanaongozwa a wishful though, a mere political platitude. Maendeleo ni dhamira sio motto wala vision
 
Back
Top Bottom