Ila CCM wanahitaji T-shirt za kuwavalisha watoto kwenye kampeniKwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.
Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.
Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.
Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.
Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.
Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.
Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.
Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.
Mm nakaa nanjilinji. KOROSHO zangu ziliporwa nikaambiwa kangomba. Wakati huo nilikuwa nimemaliza chuo nilidunduliza nikaamua ninue KOROSHO ili nipate faida kidogo. Hapo ndege itanisaidiajeeeKwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.
Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.
Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.
Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.
Mabango vipeperushi tshart kofia nguo zote ni tenda za polepole na katibu mkuu wa CCM, dili lao binafsi la kujipatia pesa maana ccm ni chukua chako mapema kwani walijua upinzani utawasumbua kutokana na udikiteta udhalimu waliowatendea ndani ya miaka mitanoKwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.
Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.
Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.
Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.
hakuna Mtanzania mwenye uelewa ataitaka ccm tena kwani hakuna kitu wamefanya ndani ya miaka mitano zaidi kutumia pesa za walipa kodi kujinufaisha kupitia miradi mikubwa ya kifisadiCCM mwaka huu sio kwamba wanafanya kampeni kwakua kunaushindani wa kisiasa, uo ni utamaduni wa ccm, walikua walifanya kampeni ata kipindi cha chama kimoja enzi za ndio na hapana.
Enzi izo Mbowe akiwa chipkiz wa ccm, Mwaka huu wangeweza kua na kampeni wikitatu kabla ya uchaguzi ila wengine wange tafsiri ni kama dharau kwa wananchi na ni dalili za kubweteka. Ki uhalisia CCM waliposhinda 2015 wamepata bonus ya 2020, uu uchaguzi ulikwisha 2015 saaizi wanakula faida ya kuchagua JPM 2015.
Wewe unazungumzia t-shirt na kofia tuu...yani wakina Mond & co Plus waganga wote wa jadi nchini wapo kwenye msafara wawoUnazungumzia mabango tu!
1.Thsirt na kofia bure kwa wanaoenda uwanjani kwenye kampeni!
2.Kukodi malori na mabasi kubeba wananchi!
Pamoja na hayo uliyosema,spana zimekubali mpaka mgombea wako anaomba kura kwa kuwapigia magoti wananchi!
hatuwezi kusema eti Magufuli amefanya mengi wakati tuna mucompare na majizi wenzie MiCCM ....wote have collective responsibility kwa economic hardship of this country wakapumzike simpleTulipoamua kufanya kilimo kuwa uti wa mgongo wa taifa letu, tulitakiwa kuweka elimu ya kutosha ya kilimo kiasi cha kuwa na wataalamu wa kilimo walioajiriwaw nchi za nje. Wakulima wetu kulima katika advance level si kwa jembe la mkono. Kuwa wasambazaji wa chakula Afrika.
Watumishi wa serikali kulazimishwa kwenda kwenye kampeniUnazungumzia mabango tu!
1.Thsirt na kofia bure kwa wanaoenda uwanjani kwenye kampeni!
2.Kukodi malori na mabasi kubeba wananchi!
Pamoja na hayo uliyosema,spana zimekubali mpaka mgombea wako anaomba kura kwa kuwapigia magoti wananchi!
Mabango, kuosha vyombo na kupiga magoti majukwaani yote yanaonesha udhaifu mkubwa wa ccm.Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.