CCM haiko tayari kubadilika,imeishiwa mikakati, imepigwa upofu.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
CCM iko katika hali mbaya kuliko wakati wowote ktk historia ya nchi hii. Hawasomi alama za nyakati. Kama wanasoma hawako tayari kubadilika.
CCM imepigwa upofu,naifananisha na kipofu aliye ndani ya chumba chenye giza akitafuta kofia nyeusi.
Wamekosa mikakati. Hawaoni hatari iliyopo mbele yao,hii si nyingine bali ni makundi ndani ya chama. Wanasogeza muda mbele ili kujipanga kitu ambacho wameshindwa mapema kabla ya zoezi kuanza.
CCM iko ktk hatari ya kusambaratika soon. Ni suala la muda tu. Hapatakuwa na recovery muda ukifika. Awamu hii mgombea wa urais hatapata support from the rest. Kuna hatari ya CCM kusambaratika. Ni vigumu kukabiliana na changamoto zote za kijamii,kisiasa,kiuchumi nk halafu ibaki salama,never!
All in all,CCM lazima ing'oke. Liwake lisiwake,kung'oka lazima.
 
Hewa tupu hapa.umeandika utumbo wa bata
 
Utumbo utumbo utumbo mtupu. Hivi umeandika nini. Wajameeni tujaribu kuandika point za maana, jenga hoja ueleweka . Utumbo wa bata hahaha
 
Back
Top Bottom