Vise versa is true, anayetakiwa kukata tamaa ni yule ambaye watu hawawezi kuja mpaka wawepo wasanii, na ze comedy. lakini huyu mbaye bango lake tu linakusanya watu kibao atakataje tamaa. Leo hii hata akienda sehem bila taarifa ndani dakika chache atapata nyomi la kuhutubia atakataje tamaa.