CCM haijamaliza kukata, ikate na hawa

CCM haijamaliza kukata, ikate na hawa

Nchi haina fedha hii. Tanzania ipo na hali mbaya. Hata huyu Pombe hawezi kuifikisha Tanzania mahala popote zaidi ya kuja kuendeleza madudu ya Rais aliyepo sasa. Upinzani pekee ndio unaweza kuleta mabadiriko ya kweli. Hata viongozi wakuu ndani ya CCM wanaelewa hilo. Nchi imechoka.
 
Back
Top Bottom