VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
slaa keeps their heads ringing...!!
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
Wao badala ya kukaa na kujadiliana ni jinsi gani ya kuishauri serikali itatutoa kwenye umaskini tulionao wao
wanatumia muda na vikao kumjadili DR Slaa.Mijitu mingine bwana!
Dr Slaa kama ataendelea kumjibu Nape hizi hoja za kipumbavu nitamdharau sana na nitamuona na yeye ni wale wale, ila nashangazwa sana na waandishi wa Tanzania kumpa airtime Nape kwa habari za Kijinga kabisa, ila wahariri wenyewe kama ndio kina Absalom Kibanda sishangazwi na hali hii.
Mtabaki kumtetea mtu hata kama hana sifa za uongozi kama vile maadili, utendaji nk!
Hivi Chadema hakuna anaefaa kuwa Katibu Mkuu zaidi ya Slaa? mbona kuna vijana hodari na wachapakazi wenye maadili kama Zito Kabwe?
Chadema kinahusishwa na udini na ukanda! Slaa ni Padre na mlei wa Kanisa aliesaini mkataba wa KIFISADI wa MOU 1992 akiwakilisha Kanisa na Edwad Lowasa kama Waziri ktk Serikali ya awamu ya Pili!
kama mnataka kufuta hisia za kidini Chadema hamna budi kumsimamisha Mgombea urais mwingine mwenye sifa za uongozi!
Slaa ni msalaba wenu na mkiendelea kumlea na kumuenzi, basi mjue Chadema itafia mikononi mwake!
pilipili usoila yakuwashia nini?Mtabaki kumtetea mtu hata kama hana sifa za uongozi kama vile maadili, utendaji nk! Hivi Chadema hakuna anaefaa kuwa Katibu Mkuu zaidi ya Slaa? mbona kuna vijana hodari na wachapakazi wenye maadili kama Zito Kabwe? Chadema kinahusishwa na udini na ukanda! Slaa ni Padre na mlei wa Kanisa aliesaini mkataba wa KIFISADI wa MOU 1992 akiwakilisha Kanisa na Edwad Lowasa kama Waziri ktk Serikali ya awamu ya Pili! kama mnataka kufuta hisia za kidini Chadema hamna budi kumsimamisha Mgombea urais mwingine mwenye sifa za uongozi! Slaa ni msalaba wenu na mkiendelea kumlea na kumuenzi, basi mjue Chadema itafia mikononi mwake!
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.